Bumbuli waanza kuikimbia CCM

Bumbuli waanza kuikimbia CCM

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
na Mwandishi wetu, Tanga

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaban Omari Shemzize, amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).


Shemzize ambaye pia alikuwa Kamanda wa Vijana wa CCM Kata ya Baga, iliyopo Jimbo la Bumbuli, alikabidhiwa kadi ya CHADEMA jana na Mratibu wa kampeni wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.

CCM ilianza kupata pigo siku chache zilizopita baada ya CHADEMA kuibuka mshindi katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kwekitui ambapo chama hicho kilikuwa ngome yake.


Shemzize alisema ameamua kukihama chama hicho kutokana na kushindwa kubeba mzigo mzito usiokuwa na mwisho mwema, zaidi ya kupata lawama.


Alisema ameamua kuachia nafasi zote ndani ya CCM baada ya msimamizi wa uchaguzi huo, Erick Muhumbo kutangaza matokeo yaliyoipa ushindi CHADEMA.

Katika kinyang'anyiro hicho ambacho awali CCM iligomea matokeo na kulazimika uchaguzi kurudiwa, mgombea wa CHADEMA Miraji Mussa aliibuka mshindi dhidi ya mgombea wa CCM, Ally Nyangasa.

Aidha, Shemzize alidai kuchoshwa na pengo kubwa lililopo baina ya CCM na wananchi hasa walalahoi licha ya kuwa ndiyo wanaotunisha misuli ya kukibeba kwenye chaguzi zote.


 
aende tu akatolewe kafara. ni taahira tu anayeweza kwenda chadema kwa staili ya kutokujielewa.
nafikiri walikuwa wamejifunza kutoka kwa akina Zitto!
 
Heri nduguyangu umetoka kwenye chama cha majambazi na wanaotesa wa Tanzania
 
aende tu akatolewe kafara. ni taahira tu anayeweza kwenda chadema kwa staili ya kutokujielewa.
nafikiri walikuwa wamejifunza kutoka kwa akina Zitto!
Wewe unalaana ya mzazi wako wa kike maana hata Nape anajua C.c.m ni Chama cha watekaji na wauaji na majina yao ni Ramadhani Ighondu,Riziwani Kikwete Dhaifu,Mwigulu Chemba la choo na Kinana mzee wa kuua tembo...Kagasheki muuza Loliondo yetu na Kupakia Twiga kwenye ndege!!!!Halafu unasema kuhama CCM ni utaahira??Kweli wewe unashirikishwa mapenzi ya Kikameruni Pumbaaaaaavu kabisa
 
Ngoja akatolewe kafar maana 2015 si mbali ili alete mvuto mkoa wa tanga maana kule cdm hawataki kuisikia kabisa wanajua kuwa ni magaidi na wabinafsi
 
Kwa hiyo, Januari Makamba ni one term member of Perliament? Just asking myself.
 
ni vizuri sana, lakini je amejadiliwa kwenye vikao halali vya chama ngazi ya kata kabla ya "kumpokea"??
 
yaani kukaa ccm,ni kujiongezea msongo wa mawazo,nchi nzima lawama kwa ccm kutotekeleza ahadi,kila kona macho kwao,jana kinana na Nape oh!sorry NEPI wamezomewa huko Morogoro hali iko hivyo nchi nzima,kwanini wasihame na bado.
 
aaahaaa hiii ndio chadema banaaa tunahitajiiiii makamndaa kama haooooo
 
Namshangaa mbunge wao akiwataka wapinzani watoe suluhu mbadala ya matatizo. Hivi upinzani wawashauri watawala kwa faida ya nani? Basi wapewe serikali ndio tuone watafanya nini.
 
Kwa hiyo, Januari Makamba ni one term member of Perliament? Just asking myself.

Aweda Januari yupo busy kufafanunua udini ulianzia wapi.........wanajaribu kupiga rangi upepo wakati ukweli unajulikana.
 
Lazima waikimbie kwa sababu mbunge wao hana mvuto kabisaaaaaaaaaa....ameshaanza kupoteza mweelekeo na hekima na busara zake zinamkimbia ...
 
Ama kweli CHADEMA inazidi kupendwa kuanzia ikulu,usalama wa taifa,mijini na vijijini,magamba wanazidi kudata.
 
Back
Top Bottom