Bumbuli waanza kuikimbia CCM

Bumbuli waanza kuikimbia CCM

Si yeye tu, kwa sasa kila mtanzania anatakiwa kusoma alama za nyakati na kutetea mstakabali wa Taifa letu; Dalili za KIFO cha uzee ni maradhi ya mara kwa mara. Hiv ndiyo hali ya CCM ilivyo. Maana kila lenye mwanzo halikosi mwisho, tuachane na kufanya mambo kwa MAZOEA
 
aende tu akatolewe kafara. ni taahira tu anayeweza kwenda chadema kwa staili ya kutokujielewa.
nafikiri walikuwa wamejifunza kutoka kwa akina Zitto!

wewe nadhani shule uliosoma ni ile ya Mulugo alikokuwa HeadMaster.
 
Nilimshudia akipokea kadi kwa macho yangu kwani tulikuwa kwenye kampeni ya kijij cha kwekitui,

mimi nikiwa kamanda mpambanaji na mpiga kampeni.

Chadema ipo tena sana huku lushoto ila tunaomba support kutoka juu
 
na Mwandishi wetu, Tanga

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaban Omari Shemzize, amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Shemzize ambaye pia alikuwa Kamanda wa Vijana wa CCM Kata ya Baga, iliyopo Jimbo la Bumbuli, alikabidhiwa kadi ya CHADEMA jana na Mratibu wa kampeni wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.

CCM ilianza kupata pigo siku chache zilizopita baada ya CHADEMA kuibuka mshindi katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kwekitui ambapo chama hicho kilikuwa ngome yake.

Shemzize alisema ameamua kukihama chama hicho kutokana na kushindwa kubeba mzigo mzito usiokuwa na mwisho mwema, zaidi ya kupata lawama.

Alisema ameamua kuachia nafasi zote ndani ya CCM baada ya msimamizi wa uchaguzi huo, Erick Muhumbo kutangaza matokeo yaliyoipa ushindi CHADEMA.

Katika kinyang’anyiro hicho ambacho awali CCM iligomea matokeo na kulazimika uchaguzi kurudiwa, mgombea wa CHADEMA Miraji Mussa aliibuka mshindi dhidi ya mgombea wa CCM, Ally Nyangasa.

Aidha, Shemzize alidai kuchoshwa na pengo kubwa lililopo baina ya CCM na wananchi hasa walalahoi licha ya kuwa ndiyo wanaotunisha misuli ya kukibeba kwenye chaguzi zote.

loo huyu ndio amechewa kweli watu makini wanaikimbi chademe yeye ndio anakwenda kuliko ooza ni sawa unaruka mkojo na kukanyaga kinyesi
 
aende tu akatolewe kafara. ni taahira tu anayeweza kwenda chadema kwa staili ya kutokujielewa. nafikiri walikuwa wamejifunza kutoka kwa akina Zitto!
wewe umejaza makamasi kichwani, hivi utasimama mbele wanaume na kuisifu ccm
 
wewe umejaza makamasi kichwani, hivi utasimama mbele wanaume na kuisifu ccm

wewe ndo umejaza makamasi kama hata kitu kidogo kama hiki ulishindwa kuelewa.
alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
Wewe unalaana ya mzazi wako wa kike maana hata Nape anajua C.c.m ni Chama cha watekaji na wauaji na majina yao ni Ramadhani Ighondu,Riziwani Kikwete Dhaifu,Mwigulu Chemba la choo na Kinana mzee wa kuua tembo...Kagasheki muuza Loliondo yetu na Kupakia Twiga kwenye ndege!!!!Halafu unasema kuhama CCM ni utaahira??Kweli wewe unashirikishwa mapenzi ya Kikameruni Pumbaaaaaavu kabisa
mse.nge wewe bila shaka utakuwa unafanyiziwa kweli kweli. hao twiga unaosema walipandishwa kwenye ndege kipindi maige akiwa kwenye office. halfu leo unakuja na usen.ge wako hapa. nenda katiwe au ukikosa wakukutia jitie mwenyewe kwa kidole huko ------.ni kwako. ms,enge mkubwa we.
 
wewe ndio mse.nge na unatiwa huko nyuma, kwani huyo maige alikuwa chama gani? Alikuwa anafanya kazi chini ya na ni? Jamani jaribuni kutumia akili sio makamasi
 
wewe ndo umejaza makamasi kama hata kitu kidogo kama hiki ulishindwa kuelewa.
alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
Wewe akili zako ndogo kama nepi au chemba la mavi...jaribuni kufikiria kabla hamjaandika utumbo , maccm yoote yana mtindio wa akili.
 
mse.nge wewe bila shaka utakuwa unafanyiziwa kweli kweli. Hao twiga unaosema walipandishwa kwenye ndege kipindi maige akiwa kwenye office. Halfu leo unakuja na usen.ge wako hapa. Nenda katiwe au ukikosa wakukutia jitie mwenyewe kwa kidole huko ------.ni kwako. Ms,enge mkubwa we.

afadhali maige aliuza twiga tu,kagasheki anataka auze kaeneo kazima!
 
Back
Top Bottom