tol JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 256 Reaction score 170 Aug 31, 2015 #41 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... kama ndio hivyo mmewawekea mizengwe ya nini
Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... kama ndio hivyo mmewawekea mizengwe ya nini
T tedywite JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 283 Reaction score 71 Aug 31, 2015 #42 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Kwa akili yako.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Aug 31, 2015 #43 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Mtanyooka tu.
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Aug 31, 2015 #44 Elli said: Kuna mtu anaitwa Chanyeghea hahahah kinanyeghea kweli kweli Click to expand... Mpwa maana take ni pilipili Kali?
Elli said: Kuna mtu anaitwa Chanyeghea hahahah kinanyeghea kweli kweli Click to expand... Mpwa maana take ni pilipili Kali?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Aug 31, 2015 #45 Chakaza said: Naenda sasa Bumbuli kwa siku mbili tu kumwaga sumu. Pse mwambie zumbemkuu natangulia site atanikuta Click to expand... Mpwa mwaka huu kupiga kura nyumbani nami naita bonde ! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chakaza said: Naenda sasa Bumbuli kwa siku mbili tu kumwaga sumu. Pse mwambie zumbemkuu natangulia site atanikuta Click to expand... Mpwa mwaka huu kupiga kura nyumbani nami naita bonde !
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,176 Aug 31, 2015 #46 Huu ndio wakati wa Shelukindo kutuliza roho yake!
Pelekaroho JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 1,602 Reaction score 378 Aug 31, 2015 #47 Source please.
crabat JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 4,323 Reaction score 2,210 Aug 31, 2015 #48 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... CCM hawawezi kushinda kinondoni hata kwa goli la vidole...hata siku moja ..Iddi Azan watu washamshtukia mchezo wake na pia uchaguzi ulopita hakupata 50% na kulikua na wagombea wengi. ths time ni ukawa pekeee hawezi kupita hata jioni
Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... CCM hawawezi kushinda kinondoni hata kwa goli la vidole...hata siku moja ..Iddi Azan watu washamshtukia mchezo wake na pia uchaguzi ulopita hakupata 50% na kulikua na wagombea wengi. ths time ni ukawa pekeee hawezi kupita hata jioni
mwaarabu wa dubai Senior Member Joined Aug 5, 2015 Posts 100 Reaction score 44 Aug 31, 2015 #49 babu M said: Huu ndio wakati wa Shelukindo kutuliza roho yake! Click to expand... Huyo Dogo ali mchafua Sana Mzee shellukindo Mzee aliye tumikia hii nchii Kwa uaminifu mkubwa Sana
babu M said: Huu ndio wakati wa Shelukindo kutuliza roho yake! Click to expand... Huyo Dogo ali mchafua Sana Mzee shellukindo Mzee aliye tumikia hii nchii Kwa uaminifu mkubwa Sana