Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

Moja ya sifa kuu ya mbwa koko ni kupiga kelele ukipita kwao.Arusha ni ya kila mmoja acheni mikwara ya kitoto.

Komredi Mingoi , naona kuna tabia ya kujipa hatimiliki inaendelea. Wamesahau kuwa Umoja, Upendo na Mshikamano ni tunu tuliyorithishwa na wazee wetu na hatuwezi kuiacha kamwe wala hatutakubali hawa vibaraka wa Mtei waichezee!
 
Last edited by a moderator:
Wote mikwara arusha naijua iyo mkwara tu pili hilo si jambo la ajabu Vicky piga kampeni sio ajabu kwani wangapi hawapigi kampeni waziwazi mbna Mbowe alishatangaza mda tu kuwania uenyekiti chadema mda tu sasa ni ajabu gani Vicky na bulembo kupiga kampeni kwanza hapigii kampen chadema dhidi ya Ccm ama chama kingine hayo ni mambo ya ndani ya ccm usiwafanye watu wenye heshima na utashi mkubwa tanzania watu wa R. Chuga wakaonekana wala bangi na viroba wakat kuna watu wenye akili pesa na heshima kubwa hilo ulilotaja wanaweza fanyaa wavuta bangi ambao wahaona hata hawamjui uyo Vicky ni nani.. kwanza ata uyo Pinda kuwa rais tatizo liko wapi wanachi si ndo wataamua?? Wewe kama humtaki si unapiga kwa unayemtaka shida iko wapi?? Point less
 
Viva Pinda na yeyote anayetaka poa cha msingi mwenye sifa hiyo apewe na mm naamini Pinda anazosifa nyingi za kugombea Urais.. ya vyama vyao yanawashinda wanakimbilia kwa jirani.. au mnamuogopa Pinda mbna akina Lowasa anayafanya sana hayo hamsemi mnahofika kupigiwa kampeni Pinda sinkwakua mnamuhofia akishika mmekwisha.
 
ama kweli hizi ni akili za chooni. kama wao wanakutana na wajumbe wao nyie kinachowauma nini? nilifikiri kila anayejua kubonyeza keyboard angalau amefuta ujinga. kumba nilikuwa najidanganya.

Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.

Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.

Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.

"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."

Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yatakayojiri kutoka hapa Mkoani........

Siasa hizi bana
 
Sasa inahusu nini yeye kukutana na wana ccm wenzake? cha ajabu kipi kama anampigia promo Pinda? Ya chadema yanawashinda kazi kushadadia ya wenzenu Viva Vicky Viva Bulembo Vivaaaaa Pindaa unaweza na unazo sifa za kuwa Ris W a Tanzania kama kuna aliyekuona ukiangusha nchi uliyowahi kuwa rais sjui nchi gani apinge.. Viva Pinda.. N a arusha ni sehemu salama wala hizo bange zilizoandikwa hapo ni za hao wala viroba wasioangali sera wakipewa hela ya viroba na bange wanapiga kura...
 
kweli Sifa zipo na ikiwezekana apewe fursa hiyo kiongozi muadilifu ndiye anayefaa katka nchii hii ila wala viroba na bange kama muandika post hii hawezi kujua kwakua anashinda kwenye bange na viroba anadhani watu wote wa Arusha ni wakorofi wakati wapo watu makini sana na wenye weledi mkubwa na wanaoijua siasa ya kisomi sio siasa za viroba na bange.
 
hizo siasa viloba na mikwara ya kishamba nothin can happen Vicky and Bulembo you are Protected hakuna la ajabu hapa kama ni kumpromo Pinda si ajabu wangapi wanajipromo???? Pinda unaweza naomba utangaze nia kabisa mapema najua ukipewa nafasi na chama unaweza kuileta Tanzania mahali pengine pazuri zaidi.
 
hilo ndilo tatizo la vijana kama nyinyi kukubali kufungwa mota na wafalme wenu,kuna kosa gani vick kamata kukutana na wajumbe wa ccm? Nyinyi kama ni chadema si muendelee na mambo yenu? Kwa nini husimtafute vick umpige mkwara unakuja kwenye mitandao

si wamezoea siasa za bange wanadhani arusha yote wanavuta bange kama aliyeandika post hii..
 
Eti etiii ??? Sijui ni kitu gani kinachomchelewesha pinda kutangaza nia hadharani kama alivyofanya kigwangala tatizo liko wapi natamani atangaze nia hata leo hakika naamini pinda anaweza aaminiwe na apewe nafasi.. Unaweza pm.
 
.........................Waziri mkuu Mizengo Peter kayanza Pinda anazo sifa zote za kuiongoza nchi yetu.. Ni mzalendo na asiyependa rushwa,mchapakazi,jasiri,asiye penda makuu(simple Man),Afya yake ni imara(fit to be a leader)msikivu na mtoto kutoka familia duni ya mkulima toka kibaoni mkoani katavi... Amelelewa kwa maadili ya mwalimu nyerere kama msaidizi wake(usalama) na Anaelewa vyema shida za watu masikini, hana kundi lolote katika wagombea na itakuwa rahisi kwa wananchi waliowengi nchini ambao ni maskini kumchagua mtu wa aina hii..Anafaaaa kuwa Rais Tanzania 2015............................
 
Viva Pinda na yeyote anayetaka poa cha msingi mwenye sifa hiyo apewe na mm naamini Pinda anazosifa nyingi za kugombea Urais.. ya vyama vyao yanawashinda wanakimbilia kwa jirani.. au mnamuogopa Pinda mbna akina Lowasa anayafanya sana hayo hamsemi mnahofika kupigiwa kampeni Pinda sinkwakua mnamuhofia akishika mmekwisha.


Waziri mkuu Mizengo Peter kayanza Pinda anazo sifa zote za kuiongoza nchi yetu.. Ni mzalendo na asiyependa rushwa,mchapakazi,jasiri,asiye penda makuu(simple Man),Afya yake ni imara(fit to be a leader)msikivu na mtoto kutoka familia duni ya mkulima toka kibaoni mkoani katavi... Amelelewa kwa maadili ya mwalimu nyerere kama msaidizi wake(usalama) na Anaelewa vyema shida za watu masikini, hana kundi lolote katika wagombea na itakuwa rahisi kwa wananchi waliowengi nchini ambao ni maskini kumchagua mtu wa aina hii..Anafaaaa kuwa Rais Tanzania 2015.
 
Arusha ndo nini?kuwa watanzania wana mipaka ndani ya nchi yao....!!!eti warafanyia siasa hapa na pale pana mwenyewe...stop that nonsense na kama unajiamini huna haja ya kumuhofia mpinzan wako hata akiwa kwako....sisi ni watanzania na tunapoelekeza hizi siasa ni mashenzini...tembeen bwn mkikubalika wel n gud wakiwakataa kumuteni vumbi wengine wajarib...
 
PINDA anaongea vizuri kiingeredha! ha ha ha haaa!
 
Mleta mada umetumwa na LOWASA, ila mwambie kabisa kuwa hata wapingane vipi haitawasaidia,Wananchi tunahitaji chama kingine na cyo ccm.
 
Aliyeandika post hii alikua ameshakula viroba na bange alizopewa na Lema mkiona anachelewa kujibu hoja zimemtoka kichwan anajishangaa.. sasa msubirini akienda kwenye viroba na bange tena mtamkoma haahaaahaa bange mbaya sana ukishavuta unaona wenzako wenzako wote wamevuta.
 
Kwa hiyo hawaruhusiwi kukutana na wanachama wenzao wa Arusha!? Au ni haramu CCM kufanya siasa zao mkoani Arusha?
huu ni upuuzi mwingine katika ubora wake.
 
Back
Top Bottom