Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

Shondola

Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
95
Reaction score
58
Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.

Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.

Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.

"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."

Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yatakayojiri kutoka hapa Mkoani........

Siasa hizi bana
 
Wajulisheni mapema,arusha siyo sehemu ya kutembeza shanga zao,zitakatika mchana kweupeeeeee
 
Hapa ndio watajua Arusha hakuna siasa za majitaka na Arusha hakuna ccm ni Chadema
 
Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.

Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.

Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.

"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."

Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yatakayojiri kutoka hapa Mkoani........

Siasa hizi bana

Wewe kilaza arusha sio tz? I don't see you actually convincing people that do that otherwise,nor will they admit it,hakuna kilaza wowote atakae mgusa Vicky bangi venu na viroba tutawashuhulikia
 
Nahisi utakuwa umeguswa moyo,mbna umekuwa mkali kiasi hiki kama mke mwenza?
 
Wewe kilaza arusha sio tz? I don't see you actually convincing people that do that otherwise,nor will they admit it,hakuna kilaza wowote atakae mgusa Vicky bangi venu na viroba tutawashuhulikia

Mbona unatokwa na mapofu namna hii???
Nakwambia huyu hana bahati kama ndiyo uwehu huo nduo imemleta nakwambia ajue imekula kwakeeeeeeeee!!!!!
 
Mhuuu... hii kazi kweli kweli , moto kolea , utamu kolea , hebu mbona raha. Adui yako mwombee njaa auu mfarakano.
 
hilo ndilo tatizo la vijana kama nyinyi kukubali kufungwa mota na wafalme wenu,kuna kosa gani vick kamata kukutana na wajumbe wa ccm? nyinyi kama ni chadema si muendelee na mambo yenu? kwa nini husimtafute vick umpige mkwara unakuja kwenye mitandao
 
Wewe kilaza arusha sio tz? I don't see you actually convincing people that do that otherwise,nor will they admit it,hakuna kilaza wowote atakae mgusa Vicky bangi venu na viroba tutawashuhulikia

As you call urself "big-in"I actually think its big enough inthere to the extent if confusing you and come here with your nonsens comment..... But always actions apeaks louder...... Ngoja kwanza mfunzwe adabu manake lile la harusi lilikuwa dogo........ this is no-nonsenses Region fuateni yaliyo waleta...... Kama mkitaka wanaume sawa
 
Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.

Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.

Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.

"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."

Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yatakayojiri kutoka hapa Mkoani........

Siasa hizi bana

punguza bangi
 
As you call urself "big-in"I actually think its big enough inthere to the extent if confusing you and come here with your nonsens comment..... But always actions apeaks louder...... Ngoja kwanza mfunzwe adabu manake lile la harusi lilikuwa dogo........ this is no-nonsenses Region fuateni yaliyo waleta...... Kama mkitaka wanaume sawa

Jinga we
 
Wewe kilaza arusha sio tz? I don't see you actually convincing people that do that otherwise,nor will they admit it,hakuna kilaza wowote atakae mgusa Vicky bangi venu na viroba tutawashuhulikia
Hili ni neno la kigabachori! na ulipoandika nina hakika umejifungia chooni!!
 
Mbona unatokwa na mapofu namna hii???
Nakwambia huyu hana bahati kama ndiyo uwehu huo nduo imemleta nakwambia ajue imekula kwakeeeeeeeee!!!!!
Hakuna ubaya wowote kwa mtanzania yeyote, wa dini yeyote, kabila lolote na itikadi zozote kuitembelea Arusha.

Sisi wakazi wa Arusha ni wakarimu na hatuna utamaduni wa kuwabagua wageni.
 
Back
Top Bottom