Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,291
- 1,802
Hiv Huyu Bulembo ni nan katika nchi hii had atoe kauli zinazodhoofisha demokrasia na kuhatarisha maslah ya taifa, nimesoma kwenye mwananchi eti anamkemea Mwanasheria Mtoto wa Karume, kuwa apige kimya, hii ni baada ya mtoto huyo wa karume kusema ni bora shein akautema urais kwani anapoendelea kuwa rais anaminya demokrasia na kuwazuia wanzanzibar haki yao ya kutawaliwa na kiongoz wanaemtaka,
Swali langu huyu Bulembo yeye ana wadhifa gan wa kuthubutu kutoka hadharan kumkanya mwanasheri huyu anaezungumza jambo ambalo lipo wazi na kila mtu anajua kilichofanyika si sahihi hahiitaj degree ya sheria kujua hili, katika swali ambalo liko wazi tena anaongea kwa kejeli kuwa uchaguz utarudiwa tu, mi nachosikia ni alikuwaga ama bado mwenyekit sijui wa jumuia ya wazaz na ana makashfa kibao.
ananikera sana huyu jamaa kujikomba kwenye CCM na kujifanya msemaj wa serikal kwa kutoa kauli za ajabu ajabu nimemsikia mara kwa mara akizamia kwenye dhifa za serikali na kuanza kucomment vitu ambavyo havimhusu , nasema anazamia kwa kuwa na iman hana wadhifa ambao unamuwezesha yeye kuhudhuria dhifa nyeti za kiserikali, mathalan ile ya kuapishwa makatibu wa wizara alikuwepo kama nan, maana hata mwandish aliemhoj alimtambulisha kama kada wa CCM, na ile ni dhifa ya kiserikali.
hawa ndo watu wanaotakiwa kuepukika kwa kuwa ma As... kis......, ili tu huko mbelen wakumbukwe na mabos wao wanaowapa kula kisa tu walikuwa mstar wa mbele kuongea ovyo, pasipo kujua sheria ana taratibu ama wanajua ila wanafanya makusudi, shame on him... anaendekeza mahaba ya chama badala ya maslah ya taifa
watu wakianza kuchapana hapa ndo hao hao watakaonza kukimbilia mabalozin kuomba hifadh ya kikimbizi

Attachments
Last edited: