Bulembo ametia fora

BULEMBO NI MUHAYA.USIDHANI MAGUFURI ANAMARAFIKI WASUKUMA TU.HATA KWENYE TEUZI ZAKE ANAANGALIA ELIMU SIYO UKABILA
Nadhani anatokea Musoma na anaitwa Alhaj Abdallah Majura Bulembo. Correct me if I'm wrong.
 
Huyu amemuongelea MSUKUMA yule mbunge .aliye msema vibaya Lowasa na nyie bila kujitambua mmeingiza kabila la MSUKUMA .!!!!!!!
 
bulembo na msukuma ilitakiwa wapewe wizara mmoja waziri mwingine naibu ili watu tupate raha
 
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu

Acha madharau chalii ukisema hvy unatukana jamii nzima ya wasukuma hadi Mh Rais ,utakuwa wewe wa OlmateJoo umelewa pure
 
Nimemsikia, nashindwa kuamini kama kiongozi wa taasisi kubwa kama anayoongoza anaamini kuwa kuimba kiapo bila kusoma ndio kuwa kichwa na mchapakazi. Poor thinking!
 
hivi huyu bulembo shule za kata hazioni ?? . darasa la saba hadi leo , haoni aibu.
 
Kama kuna kiongozi hafai basi Bulembo amejaa unafiki na roho mbaya amedhalilisha sana viongozi wa jumuia ya wazazi kwa kushikiza katibu wake mkuu kuwahamisha bila taratibu.
Ameifanya jumuia ile kama mali ya baba yake huku akilazimisha wahaya wenzie wapewe vyeo.
 
bulembo unafanana na wanafunz wajinga, wanaomsifia MWL asiengia darasan bila reference. asijue anaweza akaenda sivyo.

nilikuwa hivyo, sikuwa najua lkn nilijali nilichoelewa
 
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu[/QUOTE
Mtu akifanya kosa ahukumie yeye kama yeye na siyo kabila lake, kama Bulembo amekosea ba ajadiliwe yeye kama yeye na siyo kabila zima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…