eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Wananchi hao walidaiwa kumzomea bulembo kwenye mkutano huo wa magufuli kwenye mji mdogo wa makambako
Safi sana Police...... Mnazidi kutuongezea kura za chuki.... Bravo
Wamechanganyikiwa hawajielewi wanafanya nini. Hawana sera wameishiwa

Tatizo la CHADEMA wanachama wao wanakunywa viroba.Hawafuatilii hata Tume ya uchaguzi inachoagiza.Na viongozi nao wa CHADEMA ni kunywa viroba tu hawawaelimishi wanachama wao sheria za mikutano.
Hairuhusiwi mtu wa chama kingine kwenda mkutano wa mtu wa chama kingine kwenda kuzomea au kumfanyia fujo .Unaruhusiwa kwenda kusikiliza si kuzomea au kufanya fujo.
Wakipigwa na virungu na mabomu kwa kuingilia mikutano ya watu kwa kuzomea au kufanya fujoi wanaanza kupiga yowe ohh!! POLISI WANATUONEA.Hilo haliongezi kura linawapunguzia.Kwani watu wanawaona CHADEMA ni watu wasiojali sheria.Ukiwapa nchi watakuwa hawazingatii utawala wa sheria.Kama hili tu la kuzingatia sheria za mikutano hawawezi wakipewa nchi wataweza?
Mkutano kama haukuhusu una uhuru wa kwenda au kutokwenda.Usiende kufanya fujo mikutano ya watu wengine.CHADEMA PUNGUZENI UNYWAJI VIROBA.

Ila mwenyewe ndio aliuliza watu wa chadema mpooo?? Na jibu akapewaTatizo la CHADEMA wanachama wao wanakunywa viroba.Hawafuatilii hata Tume ya uchaguzi inachoagiza.Na viongozi nao wa CHADEMA ni kunywa viroba tu hawawaelimishi wanachama wao sheria za mikutano.
Hairuhusiwi mtu wa chama kingine kwenda mkutano wa mtu wa chama kingine kwenda kuzomea au kumfanyia fujo .Unaruhusiwa kwenda kusikiliza si kuzomea au kufanya fujo.
Wakipigwa na virungu na mabomu kwa kuingilia mikutano ya watu kwa kuzomea au kufanya fujoi wanaanza kupiga yowe ohh!! POLISI WANATUONEA.Hilo haliongezi kura linawapunguzia.Kwani watu wanawaona CHADEMA ni watu wasiojali sheria.Ukiwapa nchi watakuwa hawazingatii utawala wa sheria.Kama hili tu la kuzingatia sheria za mikutano hawawezi wakipewa nchi wataweza?
Mkutano kama haukuhusu una uhuru wa kwenda au kutokwenda.Usiende kufanya fujo mikutano ya watu wengine.CHADEMA PUNGUZENI UNYWAJI VIROBA.
Magufuli anatumia nguvu nyingi na lowassa anatumia akili nyingi nani mjanja hapo?Wamechanganyikiwa hawajielewi wanafanya nini. Hawana sera wameishiwa
Mkuu bulembo ndio shida kwa nini aliuliza kama wapo?