Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Akihutubia katika uwanja wa soko jipya umati wa watu wasio zidi 500 pamoja na kusomba watu kutoka kata zingine kwa gari la Adamu Mshomari, alianza kutunanga wakazi wa Biharamlo kwa kuichagua CHADEMA nakusema mbunge wetu kaacha bunge na kwenda Arusha ---->