Bulbu ya maji

GABOO

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
118
Reaction score
12
wakuu hii habari niliskia bbc,kwamba huko kenya wanapata mwanga wa taa kwa kutumia chupa ya maji,sasa nauliza kuna mtu ameona hii kitu inavyofanya kazi?
 
wakuu kuna haka kateknolojia nimeskia ka bulbu ya maji,kamenishangaza sana,ningeomba nifahamishwe kama mmeona kanawaka and jinsi ya kukitengeneza.
mzee, tatizo skuhizi kuna vi maneno vingi sana (hasa Bongo hii) visivyo na kichwa wala miguu...sasa nakushauri ingekuwa vyema sana kama ungemuuliza vizuri kwanza huyo ULIYESIKIA kwake hizi habari ikiwezekana hata kuiona then angalau tungejua wapi kwa kuanza...mi mwenyewe ndo naskia kwako....!!!
 
<br />
<br />
unaweza kuta hiy ni jinsia ya mtu imepewa nick name...hahaaaaa
 
'Bulbu' ndio nini kwanza..tuanze kueleweshana kuanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…