GE2025 Bulaya, Esther Mathiko washindwa kung'ara kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert Maboto wa Jimbo la Bunda Mjini, majimbo yote ya mkoani Mara, kuongoza kwa kura.

Esther Mathiko na Ester Bulaya walitia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM, na kisha majina yao kuwa miongoni mwa waliopendekezwa kupigiwa kura za maoni.

Mathiko ameshika nafasi ya tatu kwa kupata kura 196 huku Michael Kembaki anayetetea nafasi yake akipata kura 1,568.

Bulaya amepata kura 625 huku Robert Maboto anayetetea kiti chake akipata kura 2,545.

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha k.jpg
 
Labda wapozwe na viti maalum
😄

Ova
 
Safi hiyo, wasubiri teuzi za ukuu wa wilaya na ukurugenzi wa halmashauri
 
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert Maboto wa Jimbo la Bunda Mjini, majimbo yote ya mkoani Mara, kuongoza kwa kura.

Esther Mathiko na Ester Bulaya walitia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM, na kisha majina yao kuwa miongoni mwa waliopendekezwa kupigiwa kura za maoni.

Mathiko ameshika nafasi ya tatu kwa kupata kura 196 huku Michael Kembaki anayetetea nafasi yake akipata kura 1,568.

Bulaya amepata kura 625 huku Robert Maboto anayetetea kiti chake akipata kura 2,545.

Safi, haya ma Covid 19, yaende kupumzika sasa.
 
Wakomee na umalaya wao,umalaya🎒😁😁😁😁😁😁😁🤪🤪🤪🤪🤪🤪👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert Maboto wa Jimbo la Bunda Mjini, majimbo yote ya mkoani Mara, kuongoza kwa kura.

Esther Mathiko na Ester Bulaya walitia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM, na kisha majina yao kuwa miongoni mwa waliopendekezwa kupigiwa kura za maoni.

Mathiko ameshika nafasi ya tatu kwa kupata kura 196 huku Michael Kembaki anayetetea nafasi yake akipata kura 1,568.

Bulaya amepata kura 625 huku Robert Maboto anayetetea kiti chake akipata kura 2,545.

Wasaliti hao ... wakomeshwe tu.

Tulia alimdanganya Bulaya.
 
Final Say ipo mezani Idodomya msisahau hilo na zilizoliwa ndo zimeliwa Huko mashambani 😳 !

Wajumbe hoyeee ! 👍✅
 
Esther Matiko laana ya kumbambikia yule Mzee wa watu watoto wawili aliozaa na Salum Mwalimu itamuandama hadi anaingia kaburini
 
Bulaya na Lidomo lake anaongea sana bora hata Mstiko
 
Back
Top Bottom