Kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kimemteua Dr. Enos Bukuku, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa mmoja kati wa Manaibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.
Kwa uteuzi huu, Dr. Bukuku anaacha kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu.
Tunatumaini kwamba uzoefu wake katika utumishi wa umma na taaluma yake kama mchumi utaleta tija katika wadhifa wake mpya na kuipa fursa Benki Kuu kupata mtendaji mwingine ambaye ataitumikia kwa uadilifu, utii na bila kuleta mgawanyiko miongoni mwa menejimenti yake na hata wafanyakazi wa kada ya kati.
Hongera zake kwa uteuzi huu mwanana na nafikiri ni chaguo sahihi kwa nafasi hii. Nafikiri huyu bwana ni mwarobaini wa matatizo ya sehemu nyingi na ndiyo maana katika muda mfupi amekuwa akizunguka kutoka ofisi moja kwenda nyingine na nina imani kila aendako utumishi wake unawafurahisha wakubwa.
Lakini mbona kuna minong'ono kwamba huyu bwana alikuwa anampiga vita Gavana ili, kwa msaada wa mafisadi aweze kurithi hicho kiti na hatimaye kuwasogeza mafisadi karibu na hazina ya nchi ili wanedelee na upigaji wao. This is surely a kick in the mafisadi's teeth.

amepanda cheo sana, scale zao za mishahara ni kubwa sana, hii ni taasisi ya nchi tano, sio wizaraniDu, watu wana zali! Mama Jaji na yeye anazidi kubadilisha vyeo kama nguo. Lakini kwa maoni yangu hii ni demotion na nina hakika huko aliko ana majonzi lakini hayaonyeshi. Wacha akamsaidie Mzee Sitta kuwatia adabu wakenya na waganda wanaodhani hatuna watu tough!
Ni vyema kutumia forum hii kusema vitu vya ukweli,si vizuri kumsemea mtu mambo mabaya hasa kama haumjui.
Dr.bukuku na mafisadi wapi na wapi? Kumbukeni alivyokuwa tra enzi za ben.
Ukabila huu ni uongo dr. Bukuku hajaenda bot na dereva na wala yeye hajajipangia dereva wala supporting staff yoyote.
Miundombinu walitaka kuleta mradi wa kifisadi wa kufunga magari yote ya serikali tracking devices fake kutoka sa yeye akagundua akakataa kupitisha wakamchukia.
Huyu ni mtu makini na mchapakazi and he is always keeping low profile,hebu jaribuni kutuma fisadi mmoja akaombe appointment ya kumwona kama atapata!!
Please check with people who have worked with him.
Lakini mbona kuna minong'ono kwamba huyu bwana alikuwa anampiga vita Gavana ili, kwa msaada wa mafisadi aweze kurithi hicho kiti na hatimaye kuwasogeza mafisadi karibu na hazina ya nchi ili wanedelee na upigaji wao. This is surely a kick in the mafisadi's teeth.
Haya mambo kwa nchi kama yetu siyo ya kushangaa sana,Ila kwa jinsi ninavyomfahamu huyu Bwana ni kweli ni mkabila sana Ila pia ni mchapa kazi anayekubalika,Kuhusu UFISADI na MAFISADI siwezi kulisemea kwani liko rohoni mwa mtu binafsi kuliko yale tunayoweza kuyaona na kuyatofautisha katika jamii.Hujui kitu wewe! Dreva wake wa kazini ni Mnyakyusa na yule wa nyumbani ni mnyakyusa ambaye alihamishwa toka BOT Mbeya kuja kumuendesha yeye. Jamaa ameonekana akiranda randa na mafisadi na kukutana nao vikao vya siri, pamoja na mkubwa wa PCCB. Hiyo unayosema wewe kuhusu TRA ni kwamba yeye alikuwa kwenye board and there is nothing extra ordinary alichofanya. Kwa taarifa yako jamaa kachukia sana kuondolewa pale maana alishaandaliwa kuchukua nafasi ya ugavana kwa msaada wa mafisadi hao hao.
Ni vyema kutumia forum hii kusema vitu vya ukweli,si vizuri kumsemea mtu mambo mabaya hasa kama haumjui.
Dr.bukuku na mafisadi wapi na wapi? Kumbukeni alivyokuwa tra enzi za ben.
Ukabila huu ni uongo dr. Bukuku hajaenda bot na dereva na wala yeye hajajipangia dereva wala supporting staff yoyote.
Miundombinu walitaka kuleta mradi wa kifisadi wa kufunga magari yote ya serikali tracking devices fake kutoka sa yeye akagundua akakataa kupitisha wakamchukia.
Huyu ni mtu makini na mchapakazi and he is always keeping low profile,hebu jaribuni kutuma fisadi mmoja akaombe appointment ya kumwona kama atapata!!
Please check with people who have worked with him.
Haya mambo kwa nchi kama yetu siyo ya kushangaa sana,Ila kwa jinsi ninavyomfahamu huyu Bwana ni kweli ni mkabila sana Ila pia ni mchapa kazi anayekubalika,Kuhusu UFISADI na MAFISADI siwezi kulisemea kwani liko rohoni mwa mtu binafsi kuliko yale tunayoweza kuyaona na kuyatofautisha katika jamii.
Ni vyema kutumia forum hii kusema vitu vya ukweli,si vizuri kumsemea mtu mambo mabaya hasa kama haumjui.
Dr.bukuku na mafisadi wapi na wapi? Kumbukeni alivyokuwa tra enzi za ben.
Ukabila huu ni uongo dr. Bukuku hajaenda bot na dereva na wala yeye hajajipangia dereva wala supporting staff yoyote.
Miundombinu walitaka kuleta mradi wa kifisadi wa kufunga magari yote ya serikali tracking devices fake kutoka sa yeye akagundua akakataa kupitisha wakamchukia.
Huyu ni mtu makini na mchapakazi and he is always keeping low profile,hebu jaribuni kutuma fisadi mmoja akaombe appointment ya kumwona kama atapata!!
Please check with people who have worked with him.
Jamaa ni mchapa kazi lakini du! Ni mkabila ile mbaya na kila alikopita ameshindwa kabisa kulificha hilo. Toka laipokuwa chuo kikuu, miundo mbinu na ninasikia kule BOT alikuwa ametengeneza himaya ya watu wa kutoka kwao Mbeya na ilifikia hatua hata madreva wake alichagua wanyakyusa watupu! Sina hakika kama BOT nao watafanya sherehe kama walivyofanya Miundombinu!
Hujui kitu wewe! Dreva wake wa kazini ni Mnyakyusa na yule wa nyumbani ni mnyakyusa ambaye alihamishwa toka BOT Mbeya kuja kumuendesha yeye. Jamaa ameonekana akiranda randa na mafisadi na kukutana nao vikao vya siri, pamoja na mkubwa wa PCCB. Hiyo unayosema wewe kuhusu TRA ni kwamba yeye alikuwa kwenye board and there is nothing extra ordinary alichofanya. Kwa taarifa yako jamaa kachukia sana kuondolewa pale maana alishaandaliwa kuchukua nafasi ya ugavana kwa msaada wa mafisadi hao hao.
Du, watu wana zali! Mama Jaji na yeye anazidi kubadilisha vyeo kama nguo. Lakini kwa maoni yangu hii ni demotion na nina hakika huko aliko ana majonzi lakini hayaonyeshi. Wacha akamsaidie Mzee Sitta kuwatia adabu wakenya na waganda wanaodhani hatuna watu tough!