enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 342
Apa kwl umenena wakijenga ile stand na soko wakasafisha na barabara itakuwa poaBukoba ina uhaba Wa stendi na soko na barabara zake ni ndogo japo ni za rami hilo tu ndo moshi inaizidi vingine bukoba IPO juu
Hahahaaa naona picha za Iringa na mwanza WEWE unasema katikati ya mosho
Jango la NSSF KILIMANJARO
KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
KITU GANI KINAWACHANGANYA WACHAGA MPAKA WANAANZA TABIA AMBAYO HAWAKUWA NAYO MBONA WANAJIDHALILISHA WAJIFUNZE KWA WAHAYA AMBAO WALIKUA NA TABIA HIYO LEO WAKO CHINI KABISA KWA KILA ENEO.Acha kufananisha Moshi na vitu vya kishenzi
Wenzio wametuwekea picha kabisa za bukoba!Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.
Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?
Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...
Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.
-callmeGhost
Ipi ya mwanza na iringa?Hahahaaa naona picha za Iringa na mwanza WEWE unasema katikati ya mosho
Duuu unafananisha kichuguu na mlima duuu kweli humu kuna watu na viatuKumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu