Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo nyumbani.
Alafu mchangishaji Nani? Au prof wa hela ya mboga?? Mpeni huyo awe mtunza michango.
 
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo nyumbani.
Kilimo cha ndizi kimewashinda.....wanachojua ni kujenga guest zenye mitalo ndani ndio maana hata mkuu huwa anawadharau sana......

Majigambo yakizidi huwa yanavuruga hata CV ndio haya sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Kjn
ukiona watu wanakusema sana kwa mabaya ujue una kizuri .kila jambo baya ni wahaya.bukoba ni tanzania si nchi nyengine.kama jambo linaweza kufanyika hivo itasaidia hata kupunguza watu dar es salaam na miji mingine ili kuongeza shughuli za maendeleo.leo tunasema ukabila kesho kukiwa na fursa si utakuja.
mfano mzuri kahama ilivoweza kujengeka kuliko hata shinyanga mjini
 
Dubai haijengwi cku moja kila cku wanaijenga tangu nianze kupikia transit dubai hawajamaliza bhana
 
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.

Trilion 3 kila baada ya miezi 3 so Kwa mwaka mtakuwa na trillion 12....UTOPIAN
 
Back
Top Bottom