Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

Mnaotukana wahaya msitutoe ngeo bure,mleta uzi ni kapuku mwenzenu wala sio nshomile
kapotea njia alitaka kupost huu uzi kwenye uzi wa makapuku akashtukia yuko huku.

Wahaya wameishakuwa watani wa makabila yote tanzania
kila anayetaka kuota anaota wahaya.

Uzi huu ningeuona wa maana kama
mleta uzi angeweka chanzo cha habari
akiambatanisha ni picha za waliokaa
kikao hicho.
ukiona kabila lina semwa sana tambua hilo ni maarufu
 
Back
Top Bottom