Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,771
Katika mafanikio ya mtu pamoja na vingine kuna 5 P's
1. Place- kama hauko sehemu sahihi si rahisi kufakiwa. hapa tunao mfano wa Abraham alipo ambiwa atoke katika uru wa wakaldayo na kwenda sehemu Mungu alikomchagulia kumbariki. je hapo ulipo ndio Mungu anataka uwepo?
2. People
ndio hiyo mtumishi ameongelea
3: Power
Mungu ndie atupaye nguvu ya kupata utajiri na mafanikio kumb 8:18. bila hii nguvu ya kiungu sahau habari ya kufanikiwa
4. PROVISION
ukitaka ufikie hatima ya mafanikio ni lazima uombe provision ya kiungu. JEHOVA JIRE- God is my provider.
5: PERSONAL PROPHECY, wengi wetu tuko ktk wrong place, with wrong people, with no power and provision because we do not know who we are and what is our purpose. omba Mungu aseme na wewe akuambie alikuleta duniani kufanya nini. kila mtu ni lazima awe na personal prophecy, ili aweze kufanikiwa