Bujibuji na party ya ufukweni.

Bujibuji na party ya ufukweni.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,422
my sweet stomach Bujibuji, ulituambia unaandaa Jamii Get Tohether maeneo ya Ununio Beach. Wazo lako lilikluwa zuri sana kwani ilikuwa ni fursa pekee ya wapendwa wa JF kukutana, kutaniana, kufahamiana na kunadilishana hoja mbalimbali ana kwa ana.
Jamani je hii event ilifanikiwa? Kama haikufanikiwa naona tufanye mchakato kwa wanaopenda kuonana na ku enjoy tuarrange shughuli.
Nashaz nawakilisha
 
Back
Top Bottom