Naitwa jofrey george, mwandisi wa majengo, nafanya kazi za kuchora ramani za majengo aina zote, kupiga gharama za ujenzi(bopq), kusimamia ujenzi na ushauri wa kitaalamu kuhusu majengo, mnakaribishwa sana. 0754-085778

Hivi...kwa nini siku hizi kila architect anakuja na mbwembwe za 3D drafts zimerembwa zinapendeza..mpe kazi achore detailed plan sasa, madudu matupu! Nimeshawachoka marchitect wa JF!
hongera sana mkuu! Wataalam wetu si ndo hawa jamani.....mkuu tunataka uwe msaada kwetu kwa kusaidia mambo muhimu ya kazi yako hiyo!
Hivi ni hatua gani natakiwa kuzifuata ninapotaka kujenga ghorofa? Please
hivi...kwa nini siku hizi kila architect anakuja na mbwembwe za 3d drafts zimerembwa zinapendeza..mpe kazi achore detailed plan sasa, madudu matupu! Nimeshawachoka marchitect wa jf!
Please wanajf.....
Tusiwakatishe wataalam wetu kwa kuangalia nani alifanya nini na akawaje...hebu tuwape nafasi kwani mbona zamani tulikuwa tunatumia file system kwenye ofisi?lakini kwa sasa ni computer! tuwape moyo na mawazo mapya
hılo nı kama tangazo la bıashara na what he can do sıdhanı kama kuna haja ya yeye kuweka detaıled drawıngs hapa au unataka ukauze nın?kama umevutıwa mpe kazı akıfanya ovyo sıuache kumlıpa?