the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
usiagize Ebay agiza kupitia aliexpressHow long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongo
Ok ngoja nichek bossusiagize Ebay agiza kupitia aliexpress
Aliexpress ukiagiza baada ya wiki mbili tuu unapata parcel yako
gtx 750ti bei yake aliexpress around 130000
View attachment 1092427
poaOk ngoja nichek boss
Katika shipping mbona wanaweka 23-44 days hawa ni wa free shipping? Vp kwa wale wanaocharge up to 20,000/= ndio hawa wa two weeks??
yeah hapo siku 23 ikichelewa sana lanini kwa kawaida ni siku 14Katika shipping mbona wanaweka 23-44 days hawa ni wa free shipping? Vp kwa wale wanaocharge up to 20,000/= ndio hawa wa two weeks??
Ok..shukran bossyeah hapo siku 23 ikichelewa sana lanini kwa kawaida ni siku 14
1. Nenda kwenye bios angalia kama gpu ipo na kama umei enable itumike.Wataalam Nimefunga vifaa vyangu sawa...ila nikichomeka cable ya HDMI katika port ya GPU yangu niliyofunga Monitor haiwaki (No Signal) lakini nikichomeka ktk port ya onboard inakubali...nini shida Wakuu?? Nimejaribu kudisable Onboard graphics card lakini bado tatizo lipo pale pale...Msaada wataalam
CC Chief Mkwawa , The Great Wizard
Device Manager nimeangalia ina display only intel...ngoja nijaribu ku enable on bios1. Nenda kwenye bios angalia kama gpu ipo na kama umei enable itumike.
2. Unaweza pia kuangalia windows ikiwa on kupitia device manager
Inamaana hapo tayari system haioni gpu haitaonesha. Ni gpu gani?Device Manager nimeangalia ina display only intel...ngoja nijaribu ku enable on bios
Chief naingia ktk Bios naona black screen tu...nini shida hapaInamaana hapo tayari system haioni gpu haitaonesha. Ni gpu gani?
Umeingia sahihi? double check namba uliyobonyeza na aina ya desktopChief naingia ktk Bios naona black screen tu...nini shida hapa
Nimeingia kama napiga windows then nikaingia Bios Setup...Natumia Dell OptiplexUmeingia sahihi? double check namba uliyobonyeza na aina ya desktop