Asiejulikana
Member
- Sep 10, 2017
- 33
- 10
Kumbe hii ni ndogo !! Nilijua ina ubavu kidogo maana nimeona kuna sehemu wameweka specs za FIFA 19 nikajua zinaendana Hiyo core i3 2100 with 3.1GHz.. Kama nilivyo mark katika Picture..processor yako ni ndogo
uki run Window Experience Index assessment, inabidi namba (rating indices) ziwiane, zisiachane, cheki hii hapa
View attachment 1091877
huweziweka RAM(video card) kubwa akati processor ni ndogo, izo indices zitaachana mno
huwezi weka ram ya 8gb ukawa na HDD (kwa ajili ya gaming, au 3D rendering), HDD za kawaida inaleta index ya around 5.6 ivi, wakati SSD inanyanyua ngoma mpaka 7 na kitu (cheki juu hapo)
ratings ziki 'match' , na lowest score ikawa walau 6.5, basi utacheza GTA V au FIFA 19 kwa settings zinazokaribia na 'Ultra'
Na hii nimejaribu ku compare hizi processor mbili ya FIFA na ambayo ninayo mimiprocessor yako ni ndogo
uki run Window Experience Index assessment, inabidi namba (rating indices) ziwiane, zisiachane, cheki hii hapa
View attachment 1091877
huweziweka RAM(video card) kubwa akati processor ni ndogo, izo indices zitaachana mno
huwezi weka ram ya 8gb ukawa na HDD (kwa ajili ya gaming, au 3D rendering), HDD za kawaida inaleta index ya around 5.6 ivi, wakati SSD inanyanyua ngoma mpaka 7 na kitu (cheki juu hapo)
ratings ziki 'match' , na lowest score ikawa walau 6.5, basi utacheza GTA V au FIFA 19 kwa settings zinazokaribia na 'Ultra'
Boss upo vizuri...na vp kuhusu Graphics card naweza kuweka yoyote au kuna vitu muhimu vya kuzingatia
zingatia sana power supply ulionayo na power consuption ya graphics cardBoss upo vizuri...na vp kuhusu Graphics card naweza kuweka yoyote au kuna vitu muhimu vya kuzingatia
So hapo niongezee cooler na power supply nitafute ya namna gani?zingatia sana power supply ulionayo na power consuption ya graphics card
pia angalia size ya case/chasis kama graphics card itaweza fu fit vizuri
vitu vingine angalia performance ya iyo card vitu kama
technology iliotumika kutengeneza iyo card, clock speed, memory etc
hii yangu ni 14nm sio mbaya sana still mpya na hapo nikifunga cooler ya maana na ram gb 16 nafanya Gaming ya kibabe
Chief vp kuhusu processor yangu umeipitisha!? Na nikifunga GPU ya Nvidia 2gb na kuongeza Cooler mambo yatakua sawa au!?Kwa desktop za kibongo bongo amd rx 550 ni nzuri sana inakula watts 50 tu, Desktop nyingi mitaani na.madukani zinazouzwa zinakuwa na power supply ndogo.
Nyengine ni Nvidia 750 ti nayo kabla kutoka rx 550 ilikuwa ndio inatumika kwenye build kama hizo.
Ipo pia nvidia 1030 sema haina nguvu kama hizo hapo juu.
Naona cpu ya yenyewe sio powerful sana hivyo tafuta iyo rx 550 au gtx 750ti ambazo hazili umeme mwingi na games kama fifa 19 zinacheza fresh tuuSo hapo niongezee cooler na power supply nitafute ya namna gani?
Duuuh FIFA 19 nayo pia at 1080 kwa GTX 750ti..!? Hii imekaa poaNaona cpu ya yenyewe sio powerful sana hivyo tafuta iyo rx 550 au gtx 750ti ambazo hazili umeme mwingi na games kama fifa 19 zinacheza fresh tuu
mimi nilikua na gtx 750ti ilikua inapiga fifa 19 fresh tuu na pes 19 at 1080
yeah inapiga fifa 19 bila shida yoyoteDuuuh FIFA 19 nayo pia at 1080 kwa GTX 750ti..!? Hii imekaa poa
How long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongoyeah inapiga fifa 19 bila shida yoyote
Mkuu kwa games za zamani itasukuma ila games za sasa na zinazokuja itakuwa ngumu sana mkuu. Maana wote intel na Amd wameongeza core sasa hivi i3 ni core 4, i5 core 6 na i7 inazidi hapo. Na developers pia wanaanza ku optimize games zitumie core nyingi.Chief vp kuhusu processor yangu umeipitisha!? Na nikifunga GPU ya Nvidia 2gb na kuongeza Cooler mambo yatakua sawa au!?
hii kitu ninayo ka wahitaji ni pm tuyajengeHow long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongo
Nitajitahidi nifanye hivi Chief, shukran sana.Mkuu kwa games za zamani itasukuma ila games za sasa na zinazokuja itakuwa ngumu sana mkuu. Maana wote intel na Amd wameongeza core sasa hivi i3 ni core 4, i5 core 6 na i7 inazidi hapo. Na developers pia wanaanza ku optimize games zitumie core nyingi.
Ila unaweza uka upgrade kwenda i7 2600 kwenye desktop hio hio utapata core 4 na thread 8. Kazi hii unaweza ukaifanya taratibu kunatokea deals kama hizi mitaani kwa bei chee tu. Angalia kupatana na site nyengine za kuuza online. Pia kuna baadhi ya motherboard za 2nd gen zinakubali cpu za 3rd gen hivyo hata i7 3770 inaweza ikawa option.
Na kwa hio desktop nunua tu gpu inayokula umeme mdogo sio lazima uwe na cooler.
Nakuchek Boss wanguhii kitu ninayo ka wahitaji ni pm tuyajenge