raman za nyumba
Member
- Aug 4, 2018
- 34
- 20
- Thread starter
- #21
[emoji2][emoji2]kwa kwelMaeneo ninayokaa nimeziona nne.
[emoji2][emoji2]kwa kwelMaeneo ninayokaa nimeziona nne.
Angalia picha alizoweka hapo juu, madirisha yote makubwa, halafu lazima iwe colorfulIla nikweli. Maana unakuta nyumba bati zimeinuka saana. Mara zimepinda pinda zimekatwa zimeungwa ungwa.
Wataalam wanatikiwa watufunishe saana hizi modern designs
Madirisha unaweza make changes kulingana na eneoAngalia picha alizoweka hapo juu, madirisha yote makubwa, halafu lazima iwe colorful
Madirisha makubwa yanapendezaMadirisha unaweza make changes kulingana na eneo
Lazima pia tuangalie na mfuko wa client tusisahau square mita moja ya alluminium ni laki mojaMadirisha makubwa yanapendeza
Hii hidden roof kuna kuwa na batiNimejenga hio design 'Hidden Roof' gharama za kila kitu kuezeka hazifikii hata gharama ya mbao tu kama ningeezeka kwa mtindo wa kawaida.
YeahHii hidden roof kuna kuwa na bati
Kama inawezekana naomba picha kuanzia fundi anaanza mpaka mwisho, nimependa sana upauaji wa namna hiyoYeah
Whatsup 0624004650Kama inawezekana naomba picha kuanzia fundi anaanza mpaka mwisho, nimependa sana upauaji wa namna hiyo