Buhigwe: Wananchi wakiimba na kucheza kwa kuishukuru Serikali kuwafikishia maji. CHADEMA tukutane 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,748
Wakati Mbowe, Lissu na wengine kama kina Slaa wakiendelea na upotoshaji, Serikali ya awamu ya 6 inazidi kuchanja mbugha kwa Mwendazake.

Huko Buhigwe wananchi wamefurahia upatikanaji wa Maji ambao kwa miaka Mingi ilikuwa kitendawili ila Samia kaweza.

Natamani kufanya ziara binafsi kutembelea mkoa wa kigoma wote wilaya na majimbo ya uchaguzi kuchunguza maendeleo katika sekta zote nione kama yapo na yanasisimua. Hii kigoma ina wanasiasa maarufu wengi, je wanafanya nini kuleta maendeleo katika mkoa wao? Sioni ni chama kipi ndio kinafaa kuwaletea maendelea nitajikita katika uwezo binafsi wa wanasiasa wao wote wa vyama mbalimbali
 
JK na Samia ndio Wamefungua Kigoma hao wengine walikuwa wanaidharau.
 
JK na Samia ndio Wamefungua Kigoma hao wengine walikuwa wanaidharau.
enzi za jk imeimbwa sana barabara ya lami mwandiga - manyovu, kigoma ilikuwa ya ajabu sana, ni kwa treni ndio ulikuwa usafiri usio na kero, umeme nao ilikuwa ni shida, sijui watu wa kigoma waliishije huko nyuma wakati ni mkoa maarufu
 
Ndio kitu cha kushangilia hicho,mapunguani bana wana shida saba.Si wanalipa kodi sasa wamashangilia nini
 
Back
Top Bottom