Kunawa ndio nini?Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.
Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani. Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee. Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
siku wanaume watakapoacha kununua ndipo hao dada powa wataacha kuuza.
siku wanaume watakapoacha kununua ndipo hao dada powa wataacha kuuza.
Umeongea kweli kabisa.Huu mwezi utakuwa na neema sana kwao.Kama hamjui kwa kuleta huu uzi hapa, umewasaidia hao dada poa kuwatangazia biashara, na hivyo sales return zao zitapanda kupita kiasi mweiz huu. Kama unabisha, nenda baada ya wiki uwaulize watakwambia.
Tiba
Kunawa ndio nini?
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.
Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani. Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee. Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
Sabab cjafka dar hii itakua hainihusu kabsa
Wakazi wengi wa Dar es
Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale
Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.
Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana
kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.
Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu
moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti
wanafanya bkashara ya ngono kweupee.
Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?