ni gari za majigambo hizi, wanunuzi ni kina mayweather na warabu wauza mafuta, siumeshaona wanatumia Lamborghini kama patrol cars za polisi!!!yani 4.5 m kwa ajili ya gari tu. Na kuna watu eti wananunua. Yani iyo ni dhambi mbele ya mungu
ni gari za majigambo hizi, wanunuzi ni kina mayweather na warabu wauza mafuta, siumeshaona wanatumia Lamborghini kama patrol cars za polisi!!!
hahahahahahahaIna sura mbaya sana.
Mhhh mi gari mwonekano tu na uzuri ndani,mengine sijui hata kmoja, ntaulizaMkuu mwenzetu quality ya gari (ubora) unapimaje, sura au specifications....yani ni vizuri mtujuze nasi tufaidike...
mie nadhani gari ni nzuri iwapo mtumiaji atafaidika katika swala la mfuko wake, nguvu ya gari kulinganisha na barabara zetu, 4 wheel au 2, AC kwa wakazi wa maeneo ya joto, utumiaji wa mafuta na bei za mafuta nchini, durability kulinganisha ni mara ngapi mtu atakua anakwenda gereji kurekebisha gari, power ya breaks per second kusimama gafla bin vuu kujilinda kugonga na kupata ajali, sensors zinazo saidia kuu alert unapotaka ku overtake au parking....
yapo mengi tu....ambayo mnaweza kutushauri kwamba gari flani ni nzuri na ukaeleza kinachokuvutia
Hii gari kiimani inawakilisha utawala wa kuzimuMhhh mi gari mwonekano tu na uzuri ndani,mengine sijui hata kmoja, ntauliza
mmmmh...Hii gari kiimani inawakilisha utawala wa kuzimu
Hii gari kiimani inawakilisha utawala wa kuzimu
mmmmh...
kaka mshana jr...
ufafanuzi tafadhali..!!!
me naona gari imezungushiwa red circle mkuu...
Kaka kwa mshazari uangalie hizo taame naona gari imezungushiwa red circle mkuu...
nashindwa kuelewa maana yake jambo hili..!
Duh ushafungua hlo gari mkuu....umetumia cheat nn?Hizi gari nazikubali sana kwenye kuchanganya speed ziko fasta yaani nikiendesha hadi raha. Hili game la ASPHALT NITRO limenifanya niendeshe magari ya gharama ambayo ki uhalisia sijui kama nitawahi kuendesha.
Mi ni mwamaume na naikataa bugatti mkuu. Bugatti ilikuwa zamani bwana, miaka ya 2005 mpaka 2012, siku hizi ivi unajua bugatti ukiiweka kwnye drag race na kina maclaren p1,porsche 918 spider na koenigsegg hachomoki.. Anapitwa kabisa na tena kama wewe fan wa kufa na kupona wa bugatti unaweza ukalia kabisa na kudondosha chozi. Anachojivunia bugatti ni topspeed tu.Khaaa me huo muundo tu nimeuzimikia mbaya. Nashangaa watu wanaosema lina sura mbaya. Hii gari nahisi inafaa wanaume wa ukweli tu. Ukiona mwanaume unaikataa jichu nguze sana... Sishangai wadada kusema aah me sijaipenda...
Hahaha....gari inaongozwa kama ndege ndio inakunja kona. Mm na ki ist changu hapo nipenya tuu...mkuu hata sauti yake ni kama muungurumo wa simba cheki hapa wanaihamisha