Kwa hizi barabara zetu. Kabla ujafika utakuwa umeshabadilishwa jinadar-mwanza masaa matatu
Mkuu kuna barabara za high way huko dunian....hutakiwi kuendesha chini ya km80/hr....Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekaniMkuu kuna barabara za high way huko dunian....hutakiwi kuendesha nchini ya km80/hr....
Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Mkuu hapa hatuna high way!,izi barabara zimejaa mashimo,matuta kibao!!,80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekani
250 TZ hufiki? Usintanie kabisa!! anyways, unaijua barabara inayoitwa Autobahn? Zipo barabara za kufika hio 500kmhr kwa wenzetu... hatuna sie tu miji ilokosa plan...80 sawa hata hapa tz unaendesha ila speed kuanzia 250 duh sio rahisi hiyo barabara inatakiwa isiwe na kona au vilima pia duh hamna haiwezekani
nina uzowefu kwenye games nakimbiza gari kwa reverse naangalia side mirrors tu mwendo wa 120 tuKwa hizi barabara zetu. Kabla ujafika utakuwa umeshabadilishwa jina