Bugando kupata Mashine ya MRI!

Bugando kupata Mashine ya MRI!

KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.

Kaskazini hawatakaa waletewe maendeleo.
 
Bora kukaa kimya kama hujui jambo! Kutoa ruzuku kwa "kila hospitali kunafanya" Bugando kuwa hospitali ya Serikali?






Pili, umuhimu wa kuchagua CT Scan over MRI ni upi au unadhani zote zinafanya kazi sawa!?

Sasa hilo swali unaniuliza mimi kweli?

 
HAPANA! Lakini inapata ruzuku ktk Serikalini kama vile KCMC, Serikali ina mchango wake!

Kama nihivyo kwani haiwezekani serikali kupeleka kwenye hospital zake kwakua hizo hospital hazina unafuu wowote pamoja na kupewa ruzuku
 
Back
Top Bottom