Inang'ara CCM! Inang'ara CCM! Kimenuka kwa UKIWA/CHADOMO...huku watu wanajipanga kujenga NCHI wao wanajipanga kuleta VURUGU.....mwaka huu sijui wamekula MAJANI YA WAPI!!!
Katibu Mkuu Kiongozi Bw.Ombeni Sefue amesema Serikali imeagiaza mashine ya mpya MRI kwa ajili ya hospitali ya Bugando, Mwanza na pia CT SCAN nyingine mpya kwa ajili ya Hospitali ya Muhimbili!
Vipi kuhusu kcmc....?? Ama ndio kwasababu ni kuleee... ????
Hapo Chadema ni raha tupu sababu hayo anayofanya ndo yamo kwenye ilani ya Ukawa na tumeyapigania sana kwenye katiba ya Warioba na kwenye Binge la kumi.
Hapo ndugu yangu CCM mnajishauwa tu lakini ukweli namba mnaisoma wenyewe maana Magufuli anaimba kama CCM na kucheza kama UKAWA/CHADEMA.Mambo ya dill hamna tena.CCM hata nyumba ndogo inabidi wapunguze. Kama demu ulikuwa hujahongwa Gari ndo basis tena.
Lengo la Ukawa ni kuona wananchi wananufaika na lasilimali zao.Akipatikana MTU wa kutekeleza malengo ya Ukawa kuna shida gani?
Tunataka na wale wa escrow has a waliochukulia pesa stanbic bank waisome namba.
Mtajieba na Kujitekenya sana katika kipindi cha miaka 5 hii.... ILANI ya CCM iko very comprehessive ...magenge na makundi ya vyama kama UKIWA wamekuwa wana copy na ku paste vitu wasivyo vielewa! Sasa hivi CHADOMO ndio kabisa wako ICU ki DIRA na Kisiasa...... hii iko wazi CCM ndio Chama BORA...sasa hivi ACT nao wanasema 60% ya ilani yao ipo ndani ya CCM......CHADOMO ndio kabisa hata viongozi wao!!!
Vipi kuhusu kcmc....?? Ama ndio kwasababu ni kuleee... ????
???????????????????????????????????????????????KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.