Chuo gani kina dahili wenye diploma / certificate kusoma masters?Jenista ana diploma/certificate? ya ualimu, then masters bila kusoma degree
Chuo gani kina dahili wenye diploma / certificate kusoma masters?Jenista ana diploma/certificate? ya ualimu, then masters bila kusoma degree
Hii hospitali sitamani hata kuisikia, ni mojawapo ya hospitali za Rufaa za ovyo kuwahi kuwepo nchini. Unampeleka mgnjwa yuko mahututi wanamweka emegency ndo biashara inaishia hapo. Mtu anafanyiwa CT-Scan unaambiwa unapaswa kusubiri majibu ya CT-Scan siku sabaNdugu zangu, hapa Mwanza tuna hospitali ya kanda ya Bugando ambayo lengo la uwepo wake ni kuokoamaisha ya Watanzania wa mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa jirani.
Hospitali hii inaaminika kwakua inao watumishi waliobobea kwenye kada zote, na wapo madaktari bingwa kwenye hospitali hii.
Cha kushangaza ni kwamba baadhi ya wagonjwa hufariki kwa uzembe wa kutoa huduma bora kwenye hospitali hii, mfano mwaka 2023 alifariki ndugu yangu aliyekuwa akipewa matibabu kwenye hii hospitali.
Ilikua hivi, alipelekwa bugando ijumaa na kupimwa kipimo kikubwa cha MRI baada ya kupimwa, tukaambiwa wataalamu wa kusoma majibu wako Off kwakua ni wikendi, tukaambiwa jumatatu yake angepewa majibu, isivyo bahati akafariki jumatatu asubuhi hata kabla ya majibu, na wakati wote walikua wakimpa dawa za maumivu, hivyo hii tabia ife mara moja, maana naambiwa sasa imekuwa mwendelezo, kuna mgonjwa yuko hapo tangu ijumaa anasumbuliwa na Moyo saana, mpaka leo hajapewa majibu ya vipimo Tangu ijumaa badala yake wanampa Amoxline ambazo angepata hata mtaani, huyu nae akifa sababu ya kutopewa huduma stahiki TUTASHINDWA KUVUMILIA, Serikali wekeni mkono hapa Waziri wa Afya simama kidete...
Wanakuelewa basi?? Watu wetu wanahitaji sana elimu.. kwa uchanga wa akili zao wengi bado wanapenda Ile mihemko ya awamu ya tanoBugando Ni moja ya Referral Hospital ambazo Ni mahili na ina wataalamu wa kutosha kabisa tofauti na unavyojaribu kueleza, wewe na Mimi hatuna mwanga wowote wakujua chanzo cha ugonjwa ulikuwa nini na naamini hiyo MRI ilikuwa Ni hatua Tu ya kusaidia kutambua tatizo kwa undani wake na sio matibabu halisi, pia tukumbuke kuwa kweli wagonjwa wote huitaji matibabu lakini sio wote Ni emergency, mfano mtu alipata ajali na kuvuja damu kwenye ubongo Ni tofauti na mtu mwenye uvimbe wa siku nyingi kwenye ubongo na plan za matibabu yatakuwa tofauti Sana
Kuhusu magonjwa kupewa Amoxicillin hapo madaktari tuwape kongole kwani waligundua tatizo moja na kuanza kulishughulikia bila kuchelewa
Alikuwaga mwalimu wa upe,nadhani ni wa kanda ya malawiIvi waziri wa afya ni nani jina lake jaman maana mimi simjui kabisa kwa jina wala kwa sura
Kama ni mtumishi unakuja kusafisha njia hapa, bora ukae kimya, halijakukuta ndio maana una Bwabwaja kipuuzi hiviBugando Ni moja ya Referral Hospital ambazo Ni mahili na ina wataalamu wa kutosha kabisa tofauti na unavyojaribu kueleza, wewe na Mimi hatuna mwanga wowote wakujua chanzo cha ugonjwa ulikuwa nini na naamini hiyo MRI ilikuwa Ni hatua Tu ya kusaidia kutambua tatizo kwa undani wake na sio matibabu halisi, pia tukumbuke kuwa kweli wagonjwa wote huitaji matibabu lakini sio wote Ni emergency, mfano mtu alipata ajali na kuvuja damu kwenye ubongo Ni tofauti na mtu mwenye uvimbe wa siku nyingi kwenye ubongo na plan za matibabu yatakuwa tofauti Sana
Kuhusu magonjwa kupewa Amoxicillin hapo madaktari tuwape kongole kwani waligundua tatizo moja na kuanza kulishughulikia bila kuchelewa
Kama unaangalia Mazingira hongera, ila mimi kilichomkuta mdogo wangu na Mungu amuweke mahala pema peponi ukinambia hiyo hospitali ina Mazingira mazuri labda kama unaangalia majengo. Kwa kifupi mimi mdogo aliteseka pale mpaka nikataka kuchanganyikwa.Na kama ulkuwa unasoma basi hupaswi kutoa hoja kuhusiana na huduma kwa sababu wewe ni sehemu ya walalamikiwa. Imagine kipimo tu cha CT-Scan unaambiwa majibu mpaka siku saba? CT-Scan siku saba alafu wakati huo mtu yuko emergency ward bila matibabu yoyote. Mpaka tuliamua kumtoa mgonjwa hosptali na kumrudisha akajifiye nyumbani. Alafu wasivokuwa na aibu baada mdogo kufariki ndo napigiwa simu eti kama unaweza mrudishe mgonjwa hospitali ili turudie kipimo baada ya kuchomwa dawa ili tuweze kuona vizuri. ALAFU mnakuja kuimba mapambio kuwa ni Hospitali Bora, Hebu njoo Mloganzila, Tumbi na Mhimbili uone huduma za matibabu zinavyotelewa. Umesikia mtu akilalamika kuhusu Mloganzila, Tumbi na Mhimbili? Lakini Bugando unapesa yote inayohitajika kulipia huduma bila kuwaonga madaktari utasubiri sana. Na walivowaajabu kama uko mbali na kuomba uongee nao kwa simu hawakubali kabisa. ENDELEA KUSIFIA siku likikuta utararudi kuungana na sisiBugando ni moja ya hospitali Bora Sana kwa mazingira ya Tanzania... Mapungufu yapo Ila tusilaumu tu.. Kwanza kumbuka wagonjwa wengi wanaopelekwa hizo hospital za rufaa huwa wapo terminally ill... Yaani hatua ya mwisho kabisa ya magonjwa baada ya kushindikana kwenye hospitali za chini. Licha ya Hilo lakini wagonjwa wengi Sana hapo huwa wanapona au kupata nafuu na kuruhusiwa. Wengine hufariki ndio Ila sio kila Mara ni uzembe.
Naifahamu vizuri sana hiyo hospitali kwasababu nilisoma hapo, kwakweli wanajitahidi, wagonjwa ni wengi Sana kutoka kila sehemu ya Kanda ya ziwa na baadhi hutoka Uganda huko. Changamoto zipo Ila isiwe Sababu ya kuibeza hospitali iliyosaidia watu wengi Sana.
Kwanza pole ndugu, naelewa upo dissapointed Sana.. Na una haki ya kulalamika. Pili, sijasifia nimesema mapungufu yapo Ila nimeelezea hali ya hospitali pia Ina wagonjwa wengi sana.Kama unaangalia Mazingira hongera, ila mimi kilichomkuta mdogo wangu na Mungu amuweke mahala pema peponi ukinambia hiyo hospitali ina Mazingira mazuri labda kama unaangalia majengo. Kwa kifupi mimi mdogo aliteseka pale mpaka nikataka kuchanganyikwa.Na kama ulkuwa unasoma basi hupaswi kutoa hoja kuhusiana na huduma kwa sababu wewe ni sehemu ya walalamikiwa. Imagine kipimo tu cha CT-Scan unaambiwa majibu mpaka siku saba? CT-Scan siku saba alafu wakati huo mtu yuko emergency ward bila matibabu yoyote. Mpaka tuliamua kumtoa mgonjwa hosptali na kumrudisha akajifiye nyumbani. Alafu wasivokuwa na aibu baada mdogo kufariki ndo napigiwa simu eti kama unaweza mrudishe mgonjwa hospitali ili turudie kipimo baada ya kuchomwa dawa ili tuweze kuona vizuri. ALAFU mnakuja kuimba mapambio kuwa ni Hospitali Bora, Hebu njoo Mloganzila, Tumbi na Mhimbili uone huduma za matibabu zinavyotelewa. Umesikia mtu akilalamika kuhusu Mloganzila, Tumbi na Mhimbili? Lakini Bugando unapesa yote inayohitajika kulipia huduma bila kuwaonga madaktari utasubiri sana. Na walivowaajabu kama uko mbali na kuomba uongee nao kwa simu hawakubali kabisa. ENDELEA KUSIFIA siku likikuta utararudi kuungana na sisi
Jenista MhagamaIvi waziri wa afya ni nani jina lake jaman maana mimi simjui kabisa kwa jina wala kwa sura
Hamis gangwalaIvi waziri wa afya ni nani jina lake jaman maana mimi simjui kabisa kwa jina wala kwa sura
Jalalani universityChuo gani kina dahili wenye diploma / certificate kusoma masters?
Sio kweli. Na hiyo ni dhana potofu kwa Wabongo. Dr. Ben Carson ambaye ni Daktari Bingwa Marekani aliwahi kuteuliwa na Donald Trump kuwa Waziri wa Makazi.True. Ila kwa maoni yangu waziri wa afya yafaa awe Daktari, waziri wa sheria yafaa awe mwanasheria.
Tz waziri wa sheria mara kadhaa sio mwanasheria unajiuliza why?