Budget yangu 800,000/- nahitaji pikipiki used nzuri

Budget yangu 800,000/- nahitaji pikipiki used nzuri

kirikuu10

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
249
Reaction score
58
kama kichwa kinavyo jieleza hapo mwenye nayo aseme. Ikiwa boxer au honda itakuwa poa zaidi.
 
Kuna jamaa yangu ana fekon anauza kwa bei hiyo
 
Dar tabata kaka..

sawa kaka ina hali gani na je ishawahi fanyiwa marekebisho yeyote kwenye engine na kwingineko?kuhusu km ilizo tembea inaweza chezewa kwenye odo hilo achana nalo nijue kwanza ina mda gani na matumizi yako ni binafsi au biashara coz reg. yake ni ya mda kiasi ingawa si sana. Naihitaji, then inatakiwa iende mwanza nawaza jinsi ya kuisafirisha mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom