Budget ya serikali ta wanafunzi Teofilo Kisanji University, ione

Budget ya serikali ta wanafunzi Teofilo Kisanji University, ione

PACIFIC

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
5
Reaction score
1

Attachments

  • 526542_13342980_n.jpg
    526542_13342980_n.jpg
    7.1 KB · Views: 239
Did u mean budget?
Ofisi ya rais Tsh.23mil. na ya mkuu (waziri mkuu?) ni Tsh. 40mil., Kiuhalisia,inawezekana ofisi ya rais ikatengewa fungu dogo kuliko huyo wa pili?
 
ni vyema ungeleta hiyo budget i scan halafu uweke hapa, kuliko hizo namba zako kwanza hujaandika vizuri kuzitenganisha tarakimu zimekuwa kama namba na wala si ela hizo.
 
1 Ofisi ya Rais 23416000
2 ofisi ya spka 11579500
3 mkuu 40260000
4 Fedha 4000000
5 habar 7000000
6 sheria 500000
7 Wizara ya afya Na Majanga 6240000
8 dini 1024000
9 Wizara ya mkopo 4550000
11 makazi 800000


View attachment 117787

hzo Ndo Bajet Walizo Zpanga
UFISADI UTAISHA? hawajatoa mapato na matumizi ya Badgeti iliyo pita.

Wewe ni mwanafunzi au mtunza bustani wa chuo !!!!!!!!!!

Uandishi wa ajabu ajabu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom