Budget ni muhimu jamani vyuma vimekaza.

Budget ni muhimu jamani vyuma vimekaza.

Dr Louis

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
443
Reaction score
426
Leo ni tarehe 17 November
TUKISUBIRI MSHAHARA MPYA...
Baada ya mwezi huu kuisha,utafuata mwezi wenye likizo ,sikukuu na ni mwezi wa starehe zaidi kuliko miezi yote katika mwaka (December) .
Ni mwezi wa matumizi.

Halafu unafuata mwezi wa majanga (January).
January ni mwezi wa Ada za watoto,,Kodi za nyumba ,kukopa, mawazo na unyonge (pesa nyingi imetumika December)

Tukumbushane tu ya kuwa haya yote yamo ndani ya siku 89 kuanzia leo.

Tujitahidi tupange budget zetu vzr ili mbele ya safari tusipatwe na msongo wa mawazo.
.
Nimejisikia kuwakumbusha wenzangu tunaosumbuliwa na budget tujipange mapema.
Hivi vitu havijagi kwa kushtukiza.
Na hizi mvua za
vuli tuwemakini katika kupanda.
 
Kwa mtu ambaye kipato chake hakimtoshi mwezi mmoja mpaka mwingine na ni aina ya wale unaoweza kuwaita "hand to mouth" bila saving yoyote, mwezi Dec & Jan huwa ni kama mshtukizo kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom