maliselo22
Member
- May 18, 2017
- 72
- 52
Kwa nini mh?Huku nimepotea njia
Haya mambo siyajui kabisa mzeeKwa nini mh?
Nadhani ,tatizo ni watu, kuto amini technology, na pia kuna watu, ndo wanaanza kujifunza blockchain technology, hivyo watu hao hufanya majaribio Mara kwa Mara katika uwekezaji ,huu wa cryptocurrency, ndo maana bei inapanda na kushuka pia.Je tunaweza kutazaji thamani ya BTC kufikia tena juu ya 10,000Usd? Nini kimeikumba BTC katika soko la cryptocurrency??
Nadhani ,tatizo ni watu, kuto amini technology, na pia kuna watu, ndo wanaanza kujifunza blockchain technology, hivyo watu hao hufanya majaribio Mara kwa Mara katika uwekezaji ,huu wa cryptocurrency, ndo maana bei inapanda na kushuka pia.
But, hii ni fursa kwa watu waelewa tu.b'se you can buy at low and sell at highJe tunaweza kutazaji thamani ya BTC kufikia tena juu ya 10,000Usd? Nini kimeikumba BTC katika soko la cryptocurrency??
hamtaki kuyajua piaHaya mambo siyajui kabisa mzee
Naiona iko kwenye minor support, yaweza kupanda na kurudi kwenye nafasi yake
November hatutaamini itakavyopaa, hapo ina breath to kwa kujiandaa kupaaLets hope for the best
November hatutaamini itakavyopaa, hapo ina breath to kwa kujiandaa kupaa
mgongano wa maslahi, mimi natamani ishuke chap ninunue Eth zaidi ndipo ipae[emoji28]Nasubiri kwa hamu ili alau niuze BTC zangu kwa faida
Thanks bro. I'm goodhamtaki kuyajua pia
Coin moja ni $6000+ !!!! [emoji15]hamtaki kuyajua pia