HATA MIMI NASHANGAA ila mwanzo mgumu.....
sipati picha wakimualika jaji Ian japo kwa siku mojaWatanzania huwa tunalea uzembe kwa visingizio vya "mwanzo mgumu." Hawa wameanza lini bwana? Tusker wameanza lini? Madam Ritha ataimprove vipi ikiwa mind yake ni kusema "Una macho mazuri, umependeza."? Wao wanachofanya ni kukusanya pesa tu za sms na wadhamini. Jamani Watnzania tuache kuchukulia mambo kirahisi kwa visingizio vya "Mwanzo mgumu."
Hakuna cha mwanzo wala nini jamaa wa BSS hawako siriasi kabisa wako kibiashara zaidi.
sipati picha wakimualika jaji Ian japo kwa siku moja