Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 526
- 1,293
Amani iwe nanyi,
Alieanzisha uzi fulani akasema Udsm saiv kimekuwa kama cha kata bado namtafuta kwa udi na uvumba. Tuachane na hayo mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu.
Lengo ni kujua abc za kozi husika kwenye chuo tajwa hapo juu hususani kwa mtu aliyetokea diploma bila msuli wa Advance Level kwenye masomo ya sayansi je ataweza au nimshawishi tu abadili course aende hata HR. Na kama akikubali kubadili kozi vipi chuoni hakuna ugumu wa mchakato wa kubadilisha kozi?
Lakin pia nahitaji kujua changamoto za chuo hiko uzuri na ubaya wa course hiyo na Maisha kwa ufupi tu.
Wajuvi wa mambo karibuni tutete.