Unaaply kawaida kama form six kupitia mfumo wa TCU Central admission System au kama ni diploma holder nenda website ya Nacte, hiyo ndo system siku hizi, hiyo degree yako ya Bs education sidhan kama ni itakusaidia kupata nafas, siku hizi hata kama ni private university hawapokei applicants directly, vyuo vyote vnapelekewa wanafunzi kupitia mchujo wa central dmission systemWanajamvi naombeni ushauri tafadhari, mimi nimesomea BSc with education kwa Masomo ya Chemistry na Biology, naombeni ushauri juu ya chuo kizuri, chenye ada nafuu ambacho kitaweza kunichukua nikasomee Medical Doctor maana huo ndio wito wa moyo wangu!
Ahsante kwa ushauri!Unaaply kawaida kama form six kupitia mfumo wa TCU Central admission System au kama ni diploma holder nenda website ya Nacte, hiyo ndo system siku hizi, hiyo degree yako ya Bs education sidhan kama ni itakusaidia kupata nafas, siku hizi hata kama ni private university hawapokei applicants directly, vyuo vyote vnapelekewa wanafunzi kupitia mchujo wa central dmission system
Ulichokisema kaka ni sahihi kabisa......maneno ya huyo jamaa hapo juu usiyazingatie maana mm nimeomba ushauri sijaitaji kukashifiwa .Ndugu yangu [HASHTAG]#nakuja[/HASHTAG] tena sio kila aliyesoma ualimu alifail form 6... Kuna watu wako passionate kikubwa ni mtu anajitambua kiasi na kujitambua ni kuwa na uelewa kidogo wa nini kuhusu wewe juu ya malengo yako, ndoto zako n.k.
kwa bsc. education ukiwa mtaani ni kozi nzuri ukionana na watu wasio ijua kwaundani wataisifia sana na kuiona booonge la deal ila ukfka chuoni ukaanza kuisoma ni unaeza sema umeingzwa cha kike kwa malengo yake
Unaweza kusoma kabisa MD kwa matokeo hayo, wengi sana wamesoma. Vyuo vyenye gharama nafuu ni vya uma kama Muhimbili (1,800,000), UDOM na UDSM vyote gharama ni chini ya 2M. Havina michango mingi pia, e.g MUHAS michango yote ni 92,4000/- NHIF inclusive. Vipo vya private na FBO vyenye gharama nafuu pia, unaweza kufuatilia. I wish you all the best mkuuWanajamvi naombeni ushauri tafadhali, mimi nimesomea BSc with education kwa Masomo ya Chemistry na Biology, naombeni ushauri juu ya chuo kizuri, chenye ada nafuu ambacho kitaweza kunichukua nikasomee Medical Doctor maana huo ndio wito wa moyo wangu!
Usiongee vitu bila uhakika soma prospectus za vyuo vya medicine BSC ni miongoni mwa sifa za kupata nafasi,!!yaani hiyo BSC ni added advantage ya kusoma MD au MBBS au MBBch,Iam talking from the experience,I did it and it works!!Unaaply kawaida kama form six kupitia mfumo wa TCU Central admission System au kama ni diploma holder nenda website ya Nacte, hiyo ndo system siku hizi, hiyo degree yako ya Bs education sidhan kama ni itakusaidia kupata nafas, siku hizi hata kama ni private university hawapokei applicants directly, vyuo vyote vnapelekewa wanafunzi kupitia mchujo wa central dmission system
Usiongee vitu bila uhakika soma prospectus za vyuo vya medicine BSC ni miongoni mwa sifa za kupata nafasi,!!yaani hiyo BSC ni added advantage ya kusoma MD au MBBS au MBBch,Iam talking from the experience,I did it and it works!!
CHUO SIYO MUHAS PEKEE, ANGALIA IMTU,KIU,KHMU, ST JOSEPH ,kcmc, cuhas zote BSC inakubalika,kubwa tu ni kuwa hawezi kupata mkopo tena
Usiongee vitu bila uhakika soma prospectus za vyuo vya medicine BSC ni miongoni mwa sifa za kupata nafasi,!!yaani hiyo BSC ni added advantage ya kusoma MD au MBBS au MBBch,Iam talking from the experience,I did it and it works!!
BSC inyohitajika siyo ya BSC with education narudia tena SIYO HIYO kwa vyuo vyote inayohitajika niUsiongee vitu bila uhakika soma prospectus za vyuo vya medicine BSC ni miongoni mwa sifa za kupata nafasi,!!yaani hiyo BSC ni added advantage ya kusoma MD au MBBS au MBBch,Iam talking from the experience,I did it and it works!!
Duuuuuh Yaan sijui ni Kufuata Sifa Au nini... MD si chini ya miaka 5 na mmoja wa Internship... Hivi maisha Utaanza Lini ?Wanajamvi naombeni ushauri tafadhali, mimi nimesomea BSc with education kwa Masomo ya Chemistry na Biology, naombeni ushauri juu ya chuo kizuri, chenye ada nafuu ambacho kitaweza kunichukua nikasomee Medical Doctor maana huo ndio wito wa moyo wangu!