Bsc of multimedia technology and animation vs bachelor of chemistry

KUJIAJIRI HAIMANISHI UKISOMA KITU FULANI BASI UTAJIAJIRI KUTOKANA NA HICHO KITU..WENGI TUNAPOTEA KWA KUWA TUNAKUWA TUNAWAZA TU NDANI YA BOX NJE YA BOX HATUWAZI KABISA...MM NIMESOMA CHEMISTRY SIO NIJE NIAJIRIWE KUTOKANA NA TAALUMA YANGU AU LABDA KUJIAJIRI NA TAALUMA YANGU ILA NIMESOMA KWA SABABU NAIPENDA CHEMISTRY NA NAPENDA KUJUA HOW CHEMISTRY IS APPLICABLE IN EVERYDAY LIFE SWALA LA KUJIAJIRI INATEGEMEA NA BIASHARA UNAYOTAKA KUANZISHA NA MTAJI WAKE NI KIASI GANI...PALE PENYE KUWEZEKANA UNAFANYA LINAWEZEKANA ILA KAMA HALIWEZEKANI BASI UNAANGALIA ALTERNATIVES NYINGINE KULINGANA NA INTEREST YAKO
hapa hatuongelei kuanzisha duka hiyo hat mtu ambae hajaenda shule anaweza anzisha
Tunaposema fani fulani ni rahisi kujiajiri ni fani yako hiyo directly inaweza kukuwezesha kujiingizia kipato pasipo mtaji mkubwa mfano wakili anaweza panga ofisi akaieka tangazo na ana muhuri wake teari firm imeanza

wewe uliesoma chemistry una urahisi kiasi gani wa kujiajiri?

Mafanikio ni jinsi unavyoweza kutumia kipaji au ujuzi wako kusaidia maisha ya wengine
sasa wew baada ya kujua jinsi chemistry ilivyo utakuwa umefanikiwa kwa kipi?tutapimaje mafanikio yako?
 
Soma post yangu vizuri.Hakuna mahali niliposema sikuomba multimedia.Multimedia ilikuwa option yang ya mwisho kabisa,na bsc ya chem ilkuwa option ya kwanza kabisa.Sasa majibu yamekuja nimepangiwa option ya mwisho na sio ya kwanza,ndo maana nataka kubadilisha.

Soma multimedia ni easy sana kujiajiri.. ukiwa serious na shule na uhakika hadi uhitimu utakua na uwezo wa ku develop application website n.k pia kwenye video production utakua fit pia graphic design vyote hvi utavipata kwenye MTA

Ok asante,nimekuelewa.
 
hapa hatuongelei kuanzisha duka hiyo hat mtu ambae hajaenda shule anaweza anzisha
Tunaposema fani fulani ni rahisi kujiajiri ni fani yako hiyo directly inaweza kukuwezesha kujiingizia kipato pasipo mtaji mkubwa mfano wakili anaweza panga ofisi akaieka tangazo na ana muhuri wake teari firm imeanza

wewe uliesoma chemistry una urahisi kiasi gani wa kujiajiri?

Mafanikio ni jinsi unavyoweza kutumia kipaji au ujuzi wako kusaidia maisha ya wengine
sasa wew baada ya kujua jinsi chemistry ilivyo utakuwa umefanikiwa kwa kipi?tutapimaje mafanikio yako?
hahahah kupitia chemistry yangu naweza kufungua centre za kufanya analysis za maji lakini pia naweza kuanzisha kampuni ya kuzalisha sabuni na dawa lakini pia naweza kuanzisha store ya kuuza chemicals na apparatus zinazotumika mashuleni na vyuoni na hata kwenye taasisi za uchunguzi.
 
Unajua maana ya urahisi wa kujiajiri?
mfano Kuanzisha kampuni ya kuzalisha dawa ni rahisi eti?
hakuna ulichotaja apo ambacho ni rahisi kuanzisha otherwise vingejaa mtaani
 
kwako ni ngumu ila kwa wengine ni rahisi
 
Unajua maana ya urahisi wa kujiajiri?
mfano Kuanzisha kampuni ya kuzalisha dawa ni rahisi eti?
hakuna ulichotaja apo ambacho ni rahisi kuanzisha otherwise vingejaa mtaani
usitake kulinganisha uwezo wako na watu wengine kila mtu anaishi na planning zake ww unaweza kuona ni ngumu ila kwa mwingine kwani anakuwa ameshapiga mahesabu yake..NYIE NDO WALE MKIMALIZA CHUO NDO MNAANZA KUFIKIRIA NINI MNAENDA KUFANYA MITAANI...BY THE WAY KWA SASA NATENGENEZA SABUNI ZA MAJI, DAWA ZA CHOO, JIK, SHAMPOO, DAWA ZA TILES UNAFIKIRI HAPO NASHINDWA KUANZISHA KAMPUNI YANGU BAADA YA MIAKA KADHAA IJAYO?? USIWE NA AKILI FINYU KAMA YA PANZI...
 
Hongera kwa kuzalisha sabuni na shampoo mkemia!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
KUJIAJIRI HAIMANISHI UKISOMA KITU FULANI BASI UTAJIAJIRI KUTOKANA NA HICHO KITU..WENGI TUNAPOTEA KWA KUWA TUNAKUWA TUNAWAZA TU NDANI YA BOX NJE YA BOX HATUWAZI KABISA...MM NIMESOMA CHEMISTRY SIO NIJE NIAJIRIWE KUTOKANA NA TAALUMA YANGU AU LABDA KUJIAJIRI NA TAALUMA YANGU ILA NIMESOMA KWA SABABU NAIPENDA CHEMISTRY NA NAPENDA KUJUA HOW CHEMISTRY IS APPLICABLE IN EVERYDAY LIFE SWALA LA KUJIAJIRI INATEGEMEA NA BIASHARA UNAYOTAKA KUANZISHA NA MTAJI WAKE NI KIASI GANI...PALE PENYE KUWEZEKANA UNAFANYA LINAWEZEKANA ILA KAMA HALIWEZEKANI BASI UNAANGALIA ALTERNATIVES NYINGINE KULINGANA NA INTEREST YAKO
Mkuu.. unaposoma kitu ambacho unajua kabisa hutokitumia kwenye kujiajiri au kuajiriwa nacho, bhas tambua fika unapoteza mdaa... na sana sana unajichelewesha kwenye ndoto zako za kujiajiri.

Kwa uelewa wangu mdogo, kabla hujasoma kitu, lazima uwe una kijimwanga jinsi ambavyo hyo course itakusaidia, simaanishi lazima ikawe kama ambavyo umefikiria wakat unaenda kusoma, ila husipokuwa na hata kijipicha jinsi ya kwenda kutumia hyo knowledge utakayoipata, hapo utakuwa umefeli mapema mnooo.

Lakini pia ifahamike tuu, kujiajiri kwa kutumia course flani, huwa inategemea na mtazamo wako kwenye kozi husika,
Kwa mwingine inaweza kuwa haiwezekan kujiajiri kwa kutumia chemistry, wakat kwa mwingine inawezekana.

ushauri kwa kijana,
Sikiliza moyo wako na mtazamo wako juu ya hizo kozi mbili, ukipata mtazamo chanya kwenye kozi mojawapo, nenda kapige shule.
Mafanikio yanaanzia kwenye perception.
 
hapa hatuongelei kuanzisha duka hiyo hat mtu ambae hajaenda shule anaweza anzisha
Tunaposema fani fulani ni rahisi kujiajiri ni fani yako hiyo directly inaweza kukuwezesha kujiingizia kipato pasipo mtaji mkubwa mfano wakili anaweza panga ofisi akaieka tangazo na ana muhuri wake teari firm imeanza

wewe uliesoma chemistry una urahisi kiasi gani wa kujiajiri?

Mafanikio ni jinsi unavyoweza kutumia kipaji au ujuzi wako kusaidia maisha ya wengine
sasa wew baada ya kujua jinsi chemistry ilivyo utakuwa umefanikiwa kwa kipi?tutapimaje mafanikio yako?
Bwana fungi,
Nasikitika kusema kwamba, una mtazamo mdogo sana juu ya chemistry, na hilo sio kosa lako, binadam tunapishana mitazamo kwenye mambo mengii,
Wewe umeona law ni rahisi kujiajiri lakin mwingine ataona ni ngum kupita kiasi, huku akijiuliza hivi naendaje kushindana na kibatala sokon? Hivi kuna firm ngap za law? Huo ni mtazamo wake tuu.. na anapokuwa na huo mtazamo ni dhahiri kuwa atashindwa kufika mbali.

unaweza ukakuta ana matazamio makubwa sana kwenye chemistry, na ukishaamini kitu, ni rahisi kukifanya.

Kwahyo nathubutu kusema "HAKUNA COURSE RAHISI KUJIAJIRI KULIKO NYINGINE, NI MTAZAMO TUU."

Chukua hyo[emoji121] nimekupa buree, husinilipe kitu.
 
daah..umeongea point sana
 
unajua kuna watu wapo kwa ajili ya kupotosha watu na huyo jamaa inaonekana ni miongoni mwa hao watu...KUJIAJIRI KWA TAALUMA YAKO SIO KAZI RAHISI KWA KILA MTU KWA NAMNA ANAVYOFIKIRIA YEYE KUNA WENGINE HUFANIKIWA NA WENGINE HUSHINDWA KWA SABABU CHANGAMOTO HUWA ZIPO NA KILA SEHEMU KUNA CHANGAMOTO YA AINA YAKE
 
Bwana fungi,
Nasikitika kusema kwamba, una mtazamo mdogo sana juu ya chemistry, na hilo sio kosa lako, binadam tunapishana mitazamo kwenye mambo mengii,
Wewe umeona law ni rahisi kujiajiri lakin mwingine ataona ni ngum kupita kiasi, huku akijiuliza hivi naendaje kushindana na kibatala sokon? Hivi kuna firm ngap za law? Huo ni mtazamo wake tuu.. na anapokuwa na huo mtazamo ni dhahiri kuwa atashindwa kufika mbali.

unaweza ukakuta ana matazamio makubwa sana kwenye chemistry, na ukishaamini kitu, ni rahisi kukifanya.

Kwahyo nathubutu kusema "HAKUNA COURSE RAHISI KUJIAJIRI KULIKO NYINGINE, NI MTAZAMO TUU."

Chukua hyo[emoji121] nimekupa buree, husinilipe kitu.
Ukweli utabaki pale pale
Bsc multimedia ni rahisi kujiajiri kuliko Bsc chemistry
maelezo mengine ni kujipa moyo tu
 
Kwa jinsi ulivyojibu tuu... inaoneokana, umeshalamba dawa... au kwa lugha nyingine umeshanielewa.

Tupo pamoja mkuu, tutaendelea kuelimishana taratibu.
 
Back
Top Bottom