Habari zenu ndugu.Nimepangiwa UDOM ,course inaitwa BACHELOR OF SCIENCE IN MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION.Lakini mimi nilikuwa natamani sana kusoma BACHELOR OF SCIENCE IN CHEMISTRY.
Naombeni ushauri niisome hiyo hiyo multimedia technology and animation au nibadilishe nisome CHEMISTRY?Na kama ni kubadilisha naombeni mnisaidie,utaratibu wa kubadilisha unakuwaje?