BSc. In Information Systems Management (ISM) Ardhi University

Wadau msaada kwa anayejua aisee, japokuwa kwenye prospectus zile modules zake ni kama computer science nilivyo ona mimi, ila tunataka zaidi uelewa msaada wanajanvi haswa waliyosoma hii programme.
 
Imekaa poa hiyo course kijana. Nami ni miongoni mwa tuliosoma hiyo course ila haiitaji masihara. Nenda kapige kitabu kijana
 
Wadau msaada kwa anayejua aisee, japokuwa kwenye prospectus zile modules zake ni kama computer science nilivyo ona mimi, ila tunataka zaidi uelewa msaada wanajanvi haswa waliyosoma hii programme.

Absolutely true, its a good course bro, kuna so many outputs from that IS.
 
Back
Top Bottom