zigi 01
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 323
- 198
Naombeni ushauri wenu wadau mm nimemaliza kidato cha Sita mwaka jana ila sikwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali hivyo mwaka huu ndio nahitaji niende chuo!
Naombeni ushauri ni kozi ipi itanifaa zaidi Kati ya hizo mbili maana nipo dailema tu ni ipi itanisaidia zaidi kwa manufaa ya baadae na dunia yetu kwa sasa.
Naombeni ushauri ni kozi ipi itanifaa zaidi Kati ya hizo mbili maana nipo dailema tu ni ipi itanisaidia zaidi kwa manufaa ya baadae na dunia yetu kwa sasa.