Bsc in chemistry na bsc in biotechnology and labolatory science

Lio tz

Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
71
Reaction score
26
IPI kati ya kozi hizo hapo juu inahitajika zaidi viwandani katika soko La sasa pia yenye wigo mpana kwenye other field katika ajira na kujiajiri
Naomba kuwasilisha
 
Usijiloge ukasome Biotechnology and laboratory science, hao hawajulikani wanafanya kazi gani, mahospitalini walikataliwa, labda maadara za mifugo, na hazipo tz.

Kasome chemistry!!
 
Aje kuendeleza uvumbuzi wa maganda ya korosho c o?
kuna koz tz ukizisoma unaweza fia chuo
 
IPI kati ya kozi hizo hapo juu inahitajika zaidi viwandani katika soko La sasa pia yenye wigo mpana kwenye other field katika ajira na kujiajiri
Naomba kuwasilisha
ulisoma kombi Gani advance?
 
Usijiloge ukasome Biotechnology and laboratory science, hao hawajulikani wanafanya kazi gani, mahospitalini walikataliwa, labda maadara za mifugo, na hazipo tz.

Kasome chemistry!!
chemistry unaitumia wapi tanzania? Unajua nini ambacho kiwanda fulani kinakuhitaji kwa expertise yako in chemistry unapomaliza
 
Chemistry anafanya kazi TFDA, TBS, Mkemia mkuu, Viwanda vya sabuni na kemikali, madawa, viwanda vya vyakula pia
 
nasema hivyo kwa sababu chemistry is wide, kama wangelikuwa wanasoma say Industrial chemistry, then ...kuna kitu ukitoka kuwa wewe una utaalamu wa indistrial chemistry.. zamani mimi nilisoma industrial organic chemistry, it was pointing on the applicability of chemistry in various industries..... dying katika viwanda vy nguo, sabuni --chemistry of soap, surfactants , I remember, etc, ilikuwa kozi nzuri na wengi walienda TFDA, viwanda vya sabuni tanga etc. Anyway, ni kozi nzuri kwa kufunsha labda
 
Usijiloge ukasome Biotechnology and laboratory science, hao hawajulikani wanafanya kazi gani, mahospitalini walikataliwa, labda maadara za mifugo, na hazipo tz.

Kasome chemistry!!
Mkuu naomba nikuulize swali nasikia vwndn wanahitaji labolatory scientists kuliko chemist coz lab wapo very practically compare to chemist who ar mostly theoretical ,na vilevile wanasema lab scintst ana uwezo wa kufanya kazi bila chemist wakat chemists hawez kufanya kazi bila m2 wa lab imekaaje hii?
 
Chemistry ni kozi poa sana mkuu lakin ishu kuwa haufundishwi vitu Vingi then most of things havina uhusiano na kazi utakayokaa kufanya baadae. Kwa upande wa ajira somehow zipo cox watu wanaajiriwa TBS, TFDA na viwanda kadhaa as QCs .biotechnology siifahamu vyema lakini kwa upande ningeweza kushauri ukasome hii ikiwa ni ya chuo kikuu cha kilimo.
 
Mkuu naomba nikuulize swali nasikia vwndn wanahitaji labolatory scientists kuliko chemist coz lab wapo very practically compare to chemist who ar mostly theoretical ,na vilevile wanasema lab scintst ana uwezo wa kufanya kazi bila chemist wakat chemists hawez kufanya kazi bila m2 wa lab imekaaje hii?
That is not true. Coz scientist hawezi Fanya kazi zote hadi za chemist mfano kuwa QC au QA lada inategemea na eneo la kazi au maabara.
 
Mkuu naomba nikuulize swali nasikia vwndn wanahitaji labolatory scientists kuliko chemist coz lab wapo very practically compare to chemist who ar mostly theoretical ,na vilevile wanasema lab scintst ana uwezo wa kufanya kazi bila chemist wakat chemists hawez kufanya kazi bila m2 wa lab imekaaje hii?
Sijui km kuna bachelor ya laboratory science pekee, kama ipo basi hutolewa na chuo kimoja.

Mimi nimesoma Bsc Food Science, tunakutana na Chemist katika kazi zetu.

Ila hata mimi, nilitamani kusoma Bsc in Chemist kuliko food science.

Kasome Chemistry
 
kwa hio mkuu mtu biotech hawez kufanya kazi kama lab technician?
Kwa sababu nae amesomea sayansi maabara
 
Hiyo kozi ni mpya, ipo sua.

Wengi hawaijui na inawapa shida sana.

Washkaji zangu wamesoma, naona wanayopitia
 
Back
Top Bottom