Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Hii programme inafundishwa chuo gani?.Wakuu hii kitu inatangazwa sana na TBS Jana tena wamerudia baada ya sijui niite watu kukosekana ama vipi?.Hivi kuna sehemu yeyote ya kufanya kazi zaidi ya hapo TBS?.Je kama hamna hao watu hakuna uwezekano wa kuajiri watu wengine kama bsc.chemistry?.Kuna dogo alikua anataka kusoma hii kitu amekosa inafundishwa wap kwan ameambiwa afanye 2nd round.
Natunguliza shukurani kwa majibu yenu mazuri wadau.