badman prezoo Member Joined Sep 24, 2021 Posts 21 Reaction score 10 Oct 11, 2021 #1 Eti hiii cause inahusiana na nini na application za kwenye maisha ya kawaida inatumika wapi. Naombeni ushauri apo jamani.
Eti hiii cause inahusiana na nini na application za kwenye maisha ya kawaida inatumika wapi. Naombeni ushauri apo jamani.
dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,972 Reaction score 3,588 Oct 11, 2021 #2 Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi. Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi
Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi. Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi
badman prezoo Member Joined Sep 24, 2021 Posts 21 Reaction score 10 Oct 11, 2021 Thread starter #3 dist111 said: Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi. Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi Click to expand... ukisoma iyo couz una opportunity ya kupata ajira.
dist111 said: Data science ni sawa na statician, wako kwenye analysis ya data zaidi. Ni new field of study to replace statistics, ila wakipatikana 100ppl basi field inakuwa imejaa the rest watapigika kukosa kazi Click to expand... ukisoma iyo couz una opportunity ya kupata ajira.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,771 Oct 11, 2021 #4 badman prezoo said: ukisoma iyo couz una opportunity ya kupata ajira. Click to expand... Huu ni mwaka 2021 na bado unawaza ajira! Kozi kama hiyo ukiwa smart hutakiwi kulilia ajira wake up
badman prezoo said: ukisoma iyo couz una opportunity ya kupata ajira. Click to expand... Huu ni mwaka 2021 na bado unawaza ajira! Kozi kama hiyo ukiwa smart hutakiwi kulilia ajira wake up
badman prezoo Member Joined Sep 24, 2021 Posts 21 Reaction score 10 Oct 12, 2021 Thread starter #5 Upepo wa Pesa said: Huu ni mwaka 2021 na bado unawaza ajira! Kozi kama hiyo ukiwa smart hutakiwi kulilia ajira wake up Click to expand... okay shukranii
Upepo wa Pesa said: Huu ni mwaka 2021 na bado unawaza ajira! Kozi kama hiyo ukiwa smart hutakiwi kulilia ajira wake up Click to expand... okay shukranii