Mika_Graphix
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 401
- 1,281
Nashauri Agriculture Economic and Banking. Hii course nadhani ipo SUA ni sawa na Agribusiness yaani kilimo biashara hawa huajiriwa sehemu kama vile soko la kariakoo au taasisi zote zilizo chini ya wizara ya kilimo.Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.
Nawasilisha.
Hii kozi ni tofauti na Agriculture economics and agribusiness?Nenda SUA kijana kwenye iyo kozi ya agr and banking hutojutia uamuzi wako mana tumetoka SUA
Go for Agriculture Economics & Banking. Agriculture is a huge growing sector and as one of drivers economic prosperity (individualy & Countrywise).Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.
Nawasilisha.
Bsc. Chemistry umeipata chuo kipi?Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.
Nawasilisha.
We sema unataka mtu wa kukubeba acha mbwembweNi tofauti ila zipo department moja
kwa maelezo zaidi njoo pm
Bsc. Chemistry-UDOMTaja na vyuo vinavyotoa kozi hizi
Shukrani sanaa bossAnyway kwa kufuata nn mdogo wangu anategemea kukipata ngoja nimpe dondoo za chemistry...
Kwanza na declare interest i am chemist by professional... Sehemu unazoweza fanya kazi kama mkemia
Serikalini
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
Tpri arusha- taasis ya udhibiti wa matumizi ya pesticides
Tbs- taasis ya ubora
Tdma
Nimr
Wizara ya kilimo na ufugaji
Wizara ya afya
Vyuo vyote vikuu kama lab techinician
Taec- watu wa maswala ya mionzi
Tpdc
Ewura
Wizara ya maji
osha
Na kadharika hzo zote mshahara wako unaanza 1mil bila allowance
Private
Kiwanda chochote kila kinachojihusisha na chemical treatment...au chemical processing ujue unafit vzur
Kiwanda cha dawa,vyakula,vinywaji,petroleum,
Hapo ukipata viwanda vya wazungu una 1mil+
Ukipata l
Kwa wahindi mwendo wa 500+
Kukosa ajira kwa wakemia kunachangiwa na uzembe wako
Ss ni class 2015..nusu ya darasa wapo serikalin.;, others wapo private wasio na ajira ni wawili tu tena ni kutokana na termination ya mikataba yao juzijuzi tu wengne wako na kampuni zao...ila mostly important soma unachohisi utakuwa comfortable kufanya
UDOMBsc. Chemistry umeipata chuo kipi?
Umesomea ud mkuu?Anyway kwa kufuata nn mdogo wangu anategemea kukipata ngoja nimpe dondoo za chemistry...
Kwanza na declare interest i am chemist by professional... Sehemu unazoweza fanya kazi kama mkemia
Serikalini
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
Tpri arusha- taasis ya udhibiti wa matumizi ya pesticides
Tbs- taasis ya ubora
Tdma
Nimr
Wizara ya kilimo na ufugaji
Wizara ya afya
Vyuo vyote vikuu kama lab techinician
Taec- watu wa maswala ya mionzi
Tpdc
Ewura
Wizara ya maji
osha
Na kadharika hzo zote mshahara wako unaanza 1mil bila allowance
Private
Kiwanda chochote kila kinachojihusisha na chemical treatment...au chemical processing ujue unafit vzur
Kiwanda cha dawa,vyakula,vinywaji,petroleum,
Hapo ukipata viwanda vya wazungu una 1mil+
Ukipata l
Kwa wahindi mwendo wa 500+
Kukosa ajira kwa wakemia kunachangiwa na uzembe wako
Ss ni class 2015..nusu ya darasa wapo serikalin.;, others wapo private wasio na ajira ni wawili tu tena ni kutokana na termination ya mikataba yao juzijuzi tu wengne wako na kampuni zao...ila mostly important soma unachohisi utakuwa comfortable kufanya
Shukrani sanaa boss🙏🙏🙏Powa....kasome kemia tu
Ukawe mkemia
Yap... Kwa dr. Mwakaboko na dr. Philip enzi za marehemu dr. MdachiUmesomea ud mkuu?
Kumbe unawapata vyema...na marehemu Prof. Mubofu.....Yap... Kwa dr. Mwakaboko na dr. Philip enzi za marehemu dr. Mdachi
Mkayura thermodynamicsKumbe unawapata vyema...na marehemu Prof. Mubofu.....
Prof. Mahugija
Dr. Mgani
Prof. Othman
Dr. Mgina
Dr. Nyandoro
Dr. Munissi
Prof. Mhinzi
Prof. Lugwisha
Dr. Kessy
Prof. Mkayura
N.k
EeeeeeMkayura thermodynamics