Bsc. Chemistry VS. Agriculture economic and banking.

Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.

Nawasilisha.
Nashauri Agriculture Economic and Banking. Hii course nadhani ipo SUA ni sawa na Agribusiness yaani kilimo biashara hawa huajiriwa sehemu kama vile soko la kariakoo au taasisi zote zilizo chini ya wizara ya kilimo.
Kwa nchi maskini kama Tanzania Agriculture bado ina fursa nyingi.
 
Hiyo course ya SUA ni agricultural investment and banking (first intake 2020/2021). Ni tofauti na agricultural economics and agribusiness. Zote zipo chini ya SAEBS

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Anyway kwa kufuata nn mdogo wangu anategemea kukipata ngoja nimpe dondoo za chemistry...
Kwanza na declare interest i am chemist by professional... Sehemu unazoweza fanya kazi kama mkemia
Serikalini
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
Tpri arusha- taasis ya udhibiti wa matumizi ya pesticides
Tbs- taasis ya ubora
Tdma
Nimr
Wizara ya kilimo na ufugaji
Wizara ya afya
Vyuo vyote vikuu kama lab techinician
Taec- watu wa maswala ya mionzi
Tpdc
Ewura
Wizara ya maji
osha
Na kadharika hzo zote mshahara wako unaanza 1mil bila allowance

Private
Kiwanda chochote kila kinachojihusisha na chemical treatment...au chemical processing ujue unafit vzur
Kiwanda cha dawa,vyakula,vinywaji,petroleum,
Hapo ukipata viwanda vya wazungu una 1mil+
Ukipata l
Kwa wahindi mwendo wa 500+

Kukosa ajira kwa wakemia kunachangiwa na uzembe wako

Ss ni class 2015..nusu ya darasa wapo serikalin.;, others wapo private wasio na ajira ni wawili tu tena ni kutokana na termination ya mikataba yao juzijuzi tu wengne wako na kampuni zao...ila mostly important soma unachohisi utakuwa comfortable kufanya
 
Shukrani sanaa boss
 
Umesomea ud mkuu?
 
Yap... Kwa dr. Mwakaboko na dr. Philip enzi za marehemu dr. Mdachi
Kumbe unawapata vyema...na marehemu Prof. Mubofu.....
Prof. Mahugija
Dr. Mgani
Prof. Othman
Dr. Mgina
Dr. Nyandoro
Dr. Munissi
Prof. Mhinzi
Prof. Lugwisha
Dr. Kessy
Prof. Mkayura
N.k
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom