Ze showstopper
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 240
- 350
natumaini wote ni wazima humu nilikua nahitaji ushauri wenu juu ya hili......mimi ni mwanachuo pale ARDHI university first year nachukua BSc.Building Survey nilifaulu vizuri 2 masomo yangu ya A-level ktk mchepuo wa PCM tatizo langu ni kwamba sina uhakika sana na hyo faculty yangu niliyopo yan naona kama haina soko kwa nchi ya hali duni kama Tanzania hii course ilikua chaguo langu la 3 baada ya Computer engrng na Tele(UDSM) kwa matokeo yangu nilijiamini ntapata 1 kati ya hzo bt TCU ndo wakani2pa hapo nilishindwa kuhama chuo kutokana na hofu ya kuingia kama private yan no loan...... nilikua naomba ushauri wenu vijana wenzangu niendelee na hii course ina manufaa ama niapply tena upya mwaka huu kwa hzo course nnazozitaka pale UDSM au hata UDOM