BRYAN 'BIRDMAN' WILLIAMS ALIPONDA JARIDA LA FORBEs

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Rapa tajir kutoka Cash Money ameliponda jarida la forbes kwa kumuweka nafasi ya 5 katika marapa matajir zaidi duniani nyuma ya Diddy,Jay z na Dr.Dre. Baby amewaambia forbes kwamba yeye anazaidi ya 100m us dollars na kwake huo mpunga ni kama vijisenti. Birdman ambae pia ni Co-owner wa Bronald oil and gas,kampuni ya mafuta ambayo anaimiliki yeye na bro.wake Ronald 'Slim' williams amesema utajiri wake hauwezi kulinganishwa na mtu yoyote mwingine katika music industry kule Us. Daah,sasa kibongobongo cjui wasanii wetu niaje. Eti ni msanii gani wa kibongo mwenye mpunga mwing kuliko wote?
 
Sasa $ 100 mil wakati wenzake akina diddy na jay z wanakaribia half a billion, vile vile utajiri wa Birdman ana share na kaka yake (who is the real force behind Cash Money).
 
Sasa $ 100 mil wakati wenzake akina diddy na jay z wanakaribia half a billion, vile vile utajiri wa Birdman ana share na kaka yake (who is the real force behind Cash Money).

acha masiara jamaa anampunga japo tru dat anashea na Ronald 'Slim'
 
watu wengi huwa wanasema baby 'birdman' na cmb hawana pesa kama wanavyojitangaza bali wanajikweza tu...atleast jayz, combs na dre wana-investment ambazo zinaweza kuwa valued....sijui baby ana nn zaidi ya cashmoney records
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom