barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 Oct 14, 2020 #21 rikiboy said: Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa... Click to expand... Justin anabebwa na rangi, alipotoka timberlake walikosa mtu wa kulazimisha wakampa dogo ila hamna kitu pale.
rikiboy said: Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa... Click to expand... Justin anabebwa na rangi, alipotoka timberlake walikosa mtu wa kulazimisha wakampa dogo ila hamna kitu pale.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,816 Reaction score 103,715 Oct 15, 2020 #22 Tuhitimishe hapa kwa kusema Bruno Mars ndiye bingwa Note: sitaki mjadala uendelee chin ya h koment yangu πππ
Tuhitimishe hapa kwa kusema Bruno Mars ndiye bingwa Note: sitaki mjadala uendelee chin ya h koment yangu πππ
Buza Kwa Mpalange JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 268 Reaction score 156 Oct 15, 2020 #23 rikiboy said: Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa... Click to expand... Uptown Funk Finnest 24k Magic Please Me When I was your man
rikiboy said: Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa... Click to expand... Uptown Funk Finnest 24k Magic Please Me When I was your man
Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,804 Reaction score 9,405 Oct 15, 2020 #24 Buza Kwa Mpalange said: Uptown Funk Finnest 24k Magic Please Me When I was your man Click to expand... Na nyingine nyingi
Buza Kwa Mpalange said: Uptown Funk Finnest 24k Magic Please Me When I was your man Click to expand... Na nyingine nyingi
Mkaa wa mawe JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 5,035 Reaction score 7,446 Oct 18, 2020 #25 Bruno MARS sio wa dunia hii so usimfananishe na yule jamaa wa matatoo.