barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,326
- 29,589
Justin anabebwa na rangi, alipotoka timberlake walikosa mtu wa kulazimisha wakampa dogo ila hamna kitu pale.Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa...