Browser ipi ni nzuri zaidi kwa Android?

Browser ipi ni nzuri zaidi kwa Android?

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
260
Reaction score
93
Kati ya Chrome, Firefox na Opera Mobile....Natunia galaxy S2
 
Opera ninatumia hiko safi tu,speed ya kutosha na makato pia wanajitahid.Bila kifurushi wanaweza kukufirisi
 
Opera is a good option, ila kuna pages inazingua so u can go for chrome.

Tatizo la Chrome ukisha install inakula space kubwa sana nadhani ni zaidi ya 50MB. Kwa ku download mi natumia UC na ku surf natumia Opera.
 
Stop using.browser for android labda kama a
Ndroid yako feki au comfig hazipo sawa maana unapo jaza apps kwenye sim unaongeza 0.5ya ulaji wa batery na hii inategemea ni aina gani ya app unaweka katika cm yako so sioni umuhimu maana kasi ni ileile tu wasikudanganyeni maaba wanaotengeneza hizo apps wanapata pesa but its up to you.
 
600485_390111841110358_1506099029_n.jpg
 
Chukua boat browser, ipo vzur kwa kudownload maana smtime operamin huwa inataka uwe net yenye nguv ndo unadmnwload kwa raha,bt when weak huwa ina fail xan
 
Nimetumia Browser nyingi sana lakini FireFox is the best of the best, lakini ka una bundle za kitoto usiguse kabisaa tumia opera mini
 
Kati ya Chrome, Firefox na Opera Mobile....Natunia galaxy S2

Opera iko pouwah sana, chrome ina-relate na opera japo nimewahi ku2mia kidogo 2, Uc browser ni nzuri pia japo kwenye ku-download ina2mia system ya web ya cm.
 
Back
Top Bottom