zamani nilikuwa naiona Chrome lakini nilivyokuja kuwa nikioverload vitu vingi kwa wakati mmoja nilikuja kuona Chrome ni nzito nikajaribu Opera nikaona nafuu japo si kubwa sana.
Kwa kuwa naipenda Chrome nikaamua kuirudia. My take nikwamba difference zake ni ndogo mno kati ya Opera na Chrome labda ngoja nije nijaribu na Firefox nione.